Member wa JF “Tumia Akili” alitabiri kifo cha kiongozi fulani wa juu na kikatokeaa kweli. Mpaka leo naendelea kushangaa!!

Member wa JF “Tumia Akili” alitabiri kifo cha kiongozi fulani wa juu na kikatokeaa kweli. Mpaka leo naendelea kushangaa!!

Tunae mwenzetu siku hizi sijui kapotelea wapi, anaitwa “Tumia akili”

Jamaa alitabiri kifo cha kiongozi fulani wa juu, na kweli ikatokea.

Mpaka leo najiuliza ni namna gani baadhi ya wanadamu wenzetu walivyo na uwezo usio wa kawaida!
Planned death
Absolutely.

It was an Assassination Plan against the targeted person.

Kumbuka: Watu wa Assassination squad (Professional Assassins) ambao huwa wanawawekea sumu walengwa wao kwa kawaida huwa wanakuwa na 'mahesabu' yao juu ya muda (wakati) muafaka wa uwezekano wa kutokea kwa kifo kwa walengwa wao, it is a matter of reactivity speed of the poison within the body of the targeted person. Watu wa Chemical engineering wanajua Sana masuala haya.
 
Kuna mwamba mmoja anaitwa mzizi mkavu alitabili kifo cha hakimu fulani na kweli huyo hakimu akafa.
Yule hakutabiri Alikuja kutoa warning ⚠️ Alikuwa anadai kwamba Hakimu ana mkandamiza ili asipate Haki yake Akampa siku Chache za kuishi duniani kama hato mtendea Haki na kweli bwana Hakimu akavuta 🤣🤣🤣
 
Yule alikuwa ni mtu wa system so alicho kisema alikuwa na ufahamu nacho
Fore shadowing! Wala haikuwa suala la utabiri.

Unajua waTanzania wengi Sana hawako 'aware' kabisa kuhusiana na masuala haya ya security Kama ilivyo kwa Wananchi kwenye nchi zingine kama vile Urusi. Nafikiri Watu wa Urusi wako sensitive sana kuhusiana na masuala kama haya labda huenda pengine kutokana na historia ya nchi hiyo ya Watawala wao daima wanapenda kuendesha operesheni nyingi Sana za kuua Wakosoaji wa Serikali (Covertly Assassination of the Critics and Activists).
Hivyo, wananchi wanakuwa wako makini sana wakati wote kuhusiana na masuala ya Poisoning, kwa sababu wanakuwa hawajui ni nani hasa KGB inapanga kumfanyia assassination.
 
Back
Top Bottom