John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Tunae mwenzetu siku hizi sijui kapotelea wapi, anaitwa “Tumia akili”
Jamaa alitabiri kifo cha kiongozi fulani wa juu, na kweli ikatokea.
Mpaka leo najiuliza ni namna gani baadhi ya wanadamu wenzetu walivyo na uwezo usio wa kawaida!
Absolutely.Planned death
It was an Assassination Plan against the targeted person.
Kumbuka: Watu wa Assassination squad (Professional Assassins) ambao huwa wanawawekea sumu walengwa wao kwa kawaida huwa wanakuwa na 'mahesabu' yao juu ya muda (wakati) muafaka wa uwezekano wa kutokea kwa kifo kwa walengwa wao, it is a matter of reactivity speed of the poison within the body of the targeted person. Watu wa Chemical engineering wanajua Sana masuala haya.