Member wa JF “Tumia Akili” alitabiri kifo cha kiongozi fulani wa juu na kikatokeaa kweli. Mpaka leo naendelea kushangaa!!

Fore shadowing! Wala haikuwa suala la utabiri.

Unajua waTanzania wengi Sana hawako 'aware' kabisa kuhusiana na masuala haya ya security Kama ilivyo kwa Wananchi kwenye nchi zingine kama vile Urusi. Nafikiri Watu wa Urusi wako sensitive sana kuhusiana na masuala kama haya labda huenda pengine kutokana na historia ya nchi hiyo ya Watawala wao daima wanapenda kuendesha operesheni nyingi Sana za kuua Wakosoaji wa Serikali (Covertly Assassination of the Critics and Activists).
Hivyo, wananchi wanakuwa wako makini sana wakati wote kuhusiana na masuala ya Poisoning, kwa sababu wanakuwa hawajui ni nani hasa KGB inapanga kumfanyia assassination.
Naam mkuu
 
Kuna mambo huwa kuna % ya kutokea kama ukitabiri ...Kiongozi Mkubwa kufa nayo ina 100% kutokea kwani na wao ni binadaam ,labda angekuwa specific kama Godbless Lema alishatabiri.

Kugeneralize tu kwamba kiongozi flani mkubwa atakufa its likely asilimia 100 kutokea.

Hata kutabiri ajali nayo ni General maana ajali zinatokea kila siku ,utabiri mzuri ni wa kutaja kwamba siku flani gari la kampuni flani litapata ajalio au kiongozi flani hatoboi etc lakini ukigeneralize haina maana.
Na wewe tabiri basi,
 
Mbona hata ID yake haipo tena..? Cleanup ilihusisha na JF nini ?

...... update......

.....Uzi upo ...

Ila Jamaa haja login baada ya june 15 mwaka jana
ID ipo mbona
 
Alisema hicho kifo kitatokea lini?

Mana n sawa na Mm leo niandike mada nikisema kuna kiongozi atakufa bila kutaja jina lake, tarehe ya tukio wala kutaja jambo lolote litakaloonyesha mhusika afu ikitokea kweli ety mje mseme nilitabiri, sasa huo ni upungufu wa akili.
Kakojoe ulale mrembo
 
Fore shadowing! Wala haikuwa suala la utabiri.

Unajua waTanzania wengi Sana hawako 'aware' kabisa kuhusiana na masuala haya ya security Kama ilivyo kwa Wananchi kwenye nchi zingine kama vile Urusi. Nafikiri Watu wa Urusi wako sensitive sana kuhusiana na masuala kama haya labda huenda pengine kutokana na historia ya nchi hiyo ya Watawala wao daima wanapenda kuendesha operesheni nyingi Sana za kuua Wakosoaji wa Serikali (Covertly Assassination of the Critics and Activists).
Hivyo, wananchi wanakuwa wako makini sana wakati wote kuhusiana na masuala ya Poisoning, kwa sababu wanakuwa hawajui ni nani hasa KGB inapanga kumfanyia assassination.
Hoja yako hasa ni nini?
 
Alisema hicho kifo kitatokea lini?

Mana n sawa na Mm leo niandike mada nikisema kuna kiongozi atakufa bila kutaja jina lake, tarehe ya tukio wala kutaja jambo lolote litakaloonyesha mhusika afu ikitokea kweli ety mje mseme nilitabiri, sasa huo ni upungufu wa akili.
Katoa mfano wa rais na makamu huko marekani bado huelew,watu wa dasilam kwa ujuaji mpo vzur,hampendag kabisa kumpa mtu maua yake
 
Back
Top Bottom