Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ahahaha nimefurahiUnacheka nini sasa Mwachiluwi
Af acha kujichetua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaha nimefurahiUnacheka nini sasa Mwachiluwi
afu nimekumiss 🙈😃Ahahaha nimefurahi
Af acha kujichetua
Aha unajizima dataafu nimekumiss 🙈😃
Naam mkuuFore shadowing! Wala haikuwa suala la utabiri.
Unajua waTanzania wengi Sana hawako 'aware' kabisa kuhusiana na masuala haya ya security Kama ilivyo kwa Wananchi kwenye nchi zingine kama vile Urusi. Nafikiri Watu wa Urusi wako sensitive sana kuhusiana na masuala kama haya labda huenda pengine kutokana na historia ya nchi hiyo ya Watawala wao daima wanapenda kuendesha operesheni nyingi Sana za kuua Wakosoaji wa Serikali (Covertly Assassination of the Critics and Activists).
Hivyo, wananchi wanakuwa wako makini sana wakati wote kuhusiana na masuala ya Poisoning, kwa sababu wanakuwa hawajui ni nani hasa KGB inapanga kumfanyia assassination.
Akasemaje?Kwenye comments section alijaribu kufafanua
KapitieAkasemaje?
Kama Platinum Member hapa umeandika mashudu🚮Mimi natabiri viongozi wote watakufa na sisi wote tutakufa.
Na kesho jua litaonekana kuchomoza.
Hapi vipi mkuu?
Na wewe tabiri basi,Kuna mambo huwa kuna % ya kutokea kama ukitabiri ...Kiongozi Mkubwa kufa nayo ina 100% kutokea kwani na wao ni binadaam ,labda angekuwa specific kama Godbless Lema alishatabiri.
Kugeneralize tu kwamba kiongozi flani mkubwa atakufa its likely asilimia 100 kutokea.
Hata kutabiri ajali nayo ni General maana ajali zinatokea kila siku ,utabiri mzuri ni wa kutaja kwamba siku flani gari la kampuni flani litapata ajalio au kiongozi flani hatoboi etc lakini ukigeneralize haina maana.
ID ipo mbonaMbona hata ID yake haipo tena..? Cleanup ilihusisha na JF nini ?
...... update......
.....Uzi upo ...
Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku
Wakuu, Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake. August ya mwaka 1974, Rais Richard...www.jamiiforums.com
Ila Jamaa haja login baada ya june 15 mwaka jana
Kakojoe ulale mremboAlisema hicho kifo kitatokea lini?
Mana n sawa na Mm leo niandike mada nikisema kuna kiongozi atakufa bila kutaja jina lake, tarehe ya tukio wala kutaja jambo lolote litakaloonyesha mhusika afu ikitokea kweli ety mje mseme nilitabiri, sasa huo ni upungufu wa akili.
Mashudu yana protein, wewe tu hujui.Kama Platinum Member hapa umeandika mashudu🚮
Hoja yako hasa ni nini?Fore shadowing! Wala haikuwa suala la utabiri.
Unajua waTanzania wengi Sana hawako 'aware' kabisa kuhusiana na masuala haya ya security Kama ilivyo kwa Wananchi kwenye nchi zingine kama vile Urusi. Nafikiri Watu wa Urusi wako sensitive sana kuhusiana na masuala kama haya labda huenda pengine kutokana na historia ya nchi hiyo ya Watawala wao daima wanapenda kuendesha operesheni nyingi Sana za kuua Wakosoaji wa Serikali (Covertly Assassination of the Critics and Activists).
Hivyo, wananchi wanakuwa wako makini sana wakati wote kuhusiana na masuala ya Poisoning, kwa sababu wanakuwa hawajui ni nani hasa KGB inapanga kumfanyia assassination.
Na wewe tabiri basi,
Katoa mfano wa rais na makamu huko marekani bado huelew,watu wa dasilam kwa ujuaji mpo vzur,hampendag kabisa kumpa mtu maua yakeAlisema hicho kifo kitatokea lini?
Mana n sawa na Mm leo niandike mada nikisema kuna kiongozi atakufa bila kutaja jina lake, tarehe ya tukio wala kutaja jambo lolote litakaloonyesha mhusika afu ikitokea kweli ety mje mseme nilitabiri, sasa huo ni upungufu wa akili.
Yes nilishatoa update vipoID ipo mbona
Sawa mamaaKatoa mfano wa rais na makamu huko marekani bado huelew,watu wa dasilam kwa ujuaji mpo vzur,hampendag kabisa kumpa mtu maua yake
Mumeo ameshakukera Bc macho hayaoni vzr kila mwanaume unamtakaKakojoe ulale mrembo
🥱🥱😋Unavyoongea mpaka papuchi yangu inatoa udendaaa