Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Naomba unikisie mie nitapendeza nanani
 
Hivi ndo vitu sasa, japo ndugu yetu amejitetea nguvu zimepungua lakini yeye kakubaliana nalo πŸ˜‚

Mbegu chache tu anahitaji wala hataki za kujaa kisado πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bado sijaishiwa pawa🀣
 
Mjomba angu bado niko ngangari, kitu bado mbichi yani piruuu, kigoli mie na nyota yangu LOL πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mjomba naomba sapoti yako niolewe jamani, nampenda yule rafiki yako πŸ˜‚πŸ˜‚
Rafiki yangu yupi huyo mjomba nikuozeshe hata kama hana mahari nitagharamia Mimi mpwa wangu πŸ˜‚
 
Nakutakaa wee!! Hao wengine sijawaona na siwajui.
Mie nishafika kwako na mabegi nishatua, kwa kifupi ndo nipo hapo kwako.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bado umeyatua tuuπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…