Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

MC Lamomy sherehesha kidogo tupate kionjo cha harusi itakavyokuwa πŸ˜‚
Nasemaje, bi harusi kajitunza mtoto hata hajui dudu wala mende, ndio kwanza anasoma zero kilometre km gari za kampeni za wagombea urais..!!
Inshort mtoto cocastic album haijazinduliwa ila miuno anajua kukata km feni la gesti za kigogo mburahati..!! 😹😹😹
 
Ba tamu!! Sasa mtego gani na mie nishakabidhiwa wee nikulee.
Amini umepata mlezi sahihi na bora.
Awwwww!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Me nabisha muda wote najua nimepewa mke

Kumbe nimepewa mlezi🀣🀣🀣


Aya nilee tuu mtoto mie badoπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Nilipouona uzi nikahisi kutakuwa na mbanga lakini mpka hapa kupo shwari. Safi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…