Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mejiiii akee, umejuajeee?!
Ndiyomaana nimekuchagua shemeji yani unazuia na hutoki nje ya eneo lako kama anchor man na unazuia na kuanzisha mashambulizi kama build up πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mie Messi, Lapulga naweza tokea back had ndani ya box na kufumania nyavu.

Au huyo kwa avatar yako, Saint Gaucho.

Amaa neneee, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kashakubaliana na wewe huyo, hapindui kwako shemeji hapo anavunga tu πŸ˜‚
 
Ndo ufungue acc sasa, Messi, gaucho, Xavi, iniesta, Ozil, zidane, Robben, De bruyne, hawa lazima wawepo.
Kikosi utapanga mwenyewe. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hili kosi la mauaji kabisa hapo mabeki na kipa ataongezea mwenyewe πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…