Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
IKo Bien,Tuko tunatazama maoni hapa,baada ya kutumikaHarakati zinasemaje ndugu yangu
shida meji wewe panga mkononi ππMejiiii acha nongwa na husdaaa?! Khaaaah.
ππππππ
Hapanaa, kwa SK nimetuliaaa wala sina matataaa.shida meji wewe panga mkononi ππ
Hahahaha, π€£ goba ipi hy? Karibu tusumbulie huku Kwa kaziTresor Mandala mwenyewe yupo goba ana ukongomani wa mchongo
πππππππHahahaha, π€£ goba ipi hy? Karibu tusumbulie huku Kwa kazi
Kipa Buffoon, mabeki Pepe na Marcelo. Wengine atamalizia yeye.Hili kosi la mauaji kabisa hapo mabeki na kipa ataongezea mwenyewe π
Hapana sisi tutaungana na shemeji, ugomvi wake ni wetu πNakutetea kaka, maana siku cocastic aki chafukwa tuna pigwa maneno mpaka tuna hama.
Mie sina baya shemeji nitakuwa wa kwanza kuleta zawadi πππTena chotara haswaaa!! πππππ
Uzuriii mejiii, mie mwenyewee ni jeshii, naanzisha na namalizaaa.Hapana sisi tutaungana na shemeji, ugomvi wake ni wetu π
Likitokea vagi popote anatuita, call 1 tu tunavamia kambi πππ
Woyooooooo!!! ππππMie sina baya shemeji nitakuwa wa kwanza kuleta zawadi πππ
Shemeji hapaswi kupoa πshida meji wewe panga mkononi ππ
Wakikuchafua call 1 tu shemeji tunakuja kutimua vumbi πππHapanaa, kwa SK nimetuliaaa wala sina matataaa.
ππππππ
πππππ
Hilo kosi linawatu wakatili wakati wa kushambulia na wakatili wakati wa kuzuia, hili kosi uhakika kabisa shemeji πππKipa Buffoon, mabeki Pepe na Marcelo. Wengine atamalizia yeye.
Wee unaonaje hilo kosi, mejiiii, πππππ
Mkuu si tulikubaliana X Harudiwi.
Ndugu yetu kapata chombo na familiya imepata shujaa πππUzuriii mejiii, mie mwenyewee ni jeshii, naanzisha na namalizaaa.
Nyiee tulieni, mtafurahi kuwa mejii enuu.
πππππ
ohooo nilijua tu muimba singeli hawezi kuhimili mikiki ya maria. hata hapa nimewakutanisha makusudi tu nione couple yao ingekuwaje kumbe wameachana kabla hata sija wish π π πHawa walishaachana
Mwanetu ulikuwa chimbo gani? ππππππ
mkuu haunitakii mema.