Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Familiya kwani hutaki tuongezeke? πMstaarabu? Wadau wenzake kina Razorblade wana maoni tofauti π€¦ββοΈπ
Ndugu yetu mstaarabu bhana acha ajichukulie toto zurizuri πUsiwaponze wenzio wakaja kuishia kwenye magunia ya mkaa
πΉπΉπΉ Ndiomana namlinda shem asikimbieππ Eeeeh we nawe wajameni mi wakunyumba lakini
niseme tu asante,ila ananikataa kwanguvu mnoooπΉπΉπΉ Ndiomana namlinda shem asikimbie
Mbona unamtisha mie ni binti mpole na mstaarabu shemeji Razorblade anajua hiloπ πJichanganye utajua waifu material ni nani π
Wameniambia ni mstaarabu sanaπ πMstaarabu? Wadau wenzake kina Razorblade wana maoni tofauti π€¦ββοΈπ
Ndoa ilipita salama kabisa, we are officially Mr and Mrs Harmful and Dangerous ππMuimba SINGELI na dosho12 njoeni mnifungishe ndoa usiku huu sitaki kupoteza mtoto mkali
πΉπΉπΉ Aache visingizio, hajui tembo mzuri kumtazama akiwa mbugani..!!Anasema hataki english figure anataka wowowo π
πΉπΉπΉ Jaribu tenaHuyo alishanikataaga, nilijitosa kwenye kinyang'anyiro nikatoswa.
Usikubali kuwa km Zuchu wa kunyumba πΉπΉniseme tu asante,ila ananikataa kwanguvu mnooo
Yeah mke wangu kilichobaki kuwaaisha wakina junior shule tu πNdoa ilipita salama kabisa, we are officially Mr and Mrs Harmful and Dangerous ππ
Hajaona sasa usimwambie πHii akiona comrade itakuwaje? π
ππSawa tuongezeke lakini huoni hatari ya hawa watu kuwa pamoja?Familiya kwani hutaki tuongezeke? π
Gunia za mkaa loading....πWameniambia ni mstaarabu sanaπ π
MC kwenye MIC test πYeaaaahhhh π€πΉ
Ngoja tuone!kwamba itanifanya nini io nyumba ya sanaa.....
Ila vishu kuna siku tutazichapa humu live live aiseeeeeePoor Brain na mwanamke yeyote kuanzia miaka 45.
Kiranga unorthodox....Ila si kwa Faizafoxy mkuu.
Hapo utakuwa unanichokoza tu.
Yani Faizafoxy kabisa?
Naomba niwe promota wa pambanoIla vishu kuna siku tutazichapa humu live live aiseeeeee