Sasa unataka kunilazimisha nimpende mtu ambaye simpendi?Kwan fox ana nini mkuu mbona kama unataka kuanzisha vagi hapa...
Ndugu yangu hana kipengele πShem mimi sina baya nimenyooka kipengele aje nacho yeye ndugu yakoππ
Atakoma mwenyewe, sasahivi anaitwa SK ba tamu wake cocastic πNaaam nipo hapa
Najua Selikavu ana wivu ila hakuna namnaππ₯°
Mimi unae siku mingi broMi sitaki mapenzi na mtu nipewe tu min -me na Vishu Mtata tupewe na ππ
View attachment 3456184
Kumbee coca ktk ubora wake Selikavu kumbe una baby na hausemiπAtakoma mwenyewe, sasahivi anaitwa SK ba tamu wake cocastic π
Bila shaka uko poa kipenzi π
π€£π€£π€£kwa nini
Anavunga tu, tunaandaa mpango wa sherehe π
Sidhani kama Kuna mtu unaendana naye au kucompete nae...upo peke yako na tabia zakoππ€£π€£π€£kwa nini
Looo,π€ππ kumeanza kuchangamkaAnavunga tu, tunaandaa mpango wa sherehe π
Jambo jema.
Tabia zangu zipoje madamπSidhani kama Kuna mtu unaendana naye au kucompete nae...upo peke yako na tabia zakoπ
Hahaha siwezi kushindwa sema mke mwenyewe anaruka ruka kama popcorn πUshapewa mke ushindwe wewe
Mwanzoni nilikudhania tofauti ila nilipoona baadhi ya comments zako huku na selfika....nikasema hapana...huyu siyo yule mwanaume niliyedhania kuwa. Kiufupi upo UNIQUE na tabia zako mpya πTabia zangu zipoje madamπ
Hahahahahaha nabadilika kulingana na hali husika , ila kuna vitu kama siwezi badilika.Mwanzoni nilikudhania tofauti ila nilipoona baadhi ya comments zako huku na selfika....nikasema hapana...huyu siyo yule mwanaume niliyedhania kuwa. Kiufupi upo UNIQUE na tabia zako mpya π
Atakuja kukupa mualiko πLooo,π€ππ kumeanza kuchangamka
Yeah, just continue kikubwa haiathiri watu wengine.Just live your life broHahahahahaha nabadilika kulingana na hali husika , ila kuna vitu kama siwezi badilika.
Sure, umemaliza shule ?Yeah, just continue kikubwa haiathiri watu wengine.Just live your life bro