Latent chaos
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,515
- 3,141
๐ kwa hyo Edo kashaanza kuhudumia au ana bahati ๐Hujaona kwamba ameanza kumkaribisha ndugu yetu? ๐
Shindwaaaaaa!Na bado
๐คฃ๐คฃ๐คฃshemeji mbona una kabia juu sana jamaniKaka usisahau sheria chache za familiya:- ๐
1)Hatutumi nauli
-Atakuja kupewa akifika ghetto.
2)Hatuendi ghetto la mwanamke
-Isipokuwa kwa dharula
Intelligent businessman Selikavu dosho12
๐คฃ๐คฃ๐คฃheeee jamani shemejiHyo ya pili nahisi hakuna shida waifu material mwenyewe alishaleta uzi kuwa hapendi mwanaume aje kwake kama halipi kodi ๐๐
Namkaribisha kanisani kwetu mbezi siyo nyumbani ๐ ๐Hujaona kwamba ameanza kumkaribisha ndugu yetu? ๐
So niwe naanza kukuCC kama akina Mahondaw au mahusiano ya JF yanaanzaje? ๐๐คฃ
Asante ๐Hata km ya mkeka muhimu ndoa ipite..!! ๐น
Sio Siri coca sijalala ,nawaza Mimi nimeumia hivi wenye baba yao,mume ,mjomba ,bamdogo....๐ฅฒ๐ฅฒHP anavuruga akili za watu, huelewi ukasirike au uchukie.
Lol
Ila Mange nae kutonesha kidonda watu Leo.Sio Siri coca sijalala ,nawaza Mimi nimeumia hivi wenye baba yao,mume ,mjomba ,bamdogo....๐ฅฒ๐ฅฒ
Asubuhi Tena mange ndo kabisa kanimaliza
Maana ht ye anaongea mpk anataka kulia ๐๐
Bila shaka sheria anaijua kuwa hapaswi kuhudumia kabla hajamfikisha ghetto ๐๐ kwa hyo Edo kashaanza kuhudumia au ana bahati ๐
Rejea ya uzi wako, halafu unamkaribisha ndugu yetu ili uje umtangaze? ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃshemeji mbona una kabia juu sana jamani
Michezo hii ๐Namkaribisha kanisani kwetu mbezi siyo nyumbani ๐ ๐
Yaani hii nchi ht riz hakuwa hivi too muchIla Mange nae kutonesha kidonda watu Leo.
๐ข๐ข๐ข๐ข
Jah atusaidie kwa kweli.
Shemu hatuaminiani๐ ๐Michezo hii ๐
Huchelewi kuleta uzi wewe ๐Shemu hatuaminiani๐ ๐
Dah! Jamani zinakuwaga chai zile ujue๐๐Huchelewi kuleta uzi wewe ๐
Tutaaminije? ๐Dah! Jamani zinakuwaga chai zile ujue๐๐