mtu poa sana waifu material ila akizinguliwa tujiandae kusoma uzi wa ndugu yetu π πTumpatie hata waifu material japo nae kila siku anawasema wanaume sijui ex wake alimfanya nini π
Tutampa utaratibu, jambo la kwanza ni kupitia nyuzi zake zote πππmtu poa sana waifu material ila akizinguliwa tujiandae kusoma uzi wa ndugu yetu π π
mie hapa nipo niokote πππNipatiwe nani? Mimi nataka kijana mstaarabu π
Unafaa kugombea ubunge kaka, unaanza kunikonvisi dah ππHiyo sasa ndio nzuri kuna neutralization inaenda kutokea hapo, halafu kanapatikana katabia fulani kaliko balance π π
Lamomy nitakurushia majini.
Hawa walishaachana
MamiyakeππNimepitia uzi vizuri naona kwenye familiya yangu ni mmoja tu ndo ametajwa sana dosho12
Joanah na Lamomy naombeni mnisaidie kwa hawa ndugu zangu nao wapate hata wa kuwalia hizo pesa za saidia fundi.
πππ
Selikavu
Edo kissy
Kuhusu Intelligent businessman sina shaka nae ila nina wasiwasi na TheNomad maana nae hakutuletea mrejesho kama amepata wakuendana nae.
Khalas π
πππππMaghayo & BICHWA KOMWE - (Full Mabangi )
Busu la Kenge & cocastic
The Mongolian Savage & Binti wa zamani
Tulia kaka mie nimekuja kuwasilisha hitaji lenu, hamtakuwa wapweke tena πMamiyakeππ
Watu mna roho mbaya sanaππ€£π€£
Hiyo haiwezekani hata kidogo
Tlaahtlaah na Lucas MwashambwaMimi ni shabiki mkubwa wa wanachama wa hili jukwaa. Muda mwingi nawasoma kimya kimya....
Sasa fikiria ile couple inayotikisa mtaa...inaweza kuwepo hapa JF sema tu baadhi ya wanachama hawajakutana. Wanachama gani unadhani wangepeana chance wanaweza kutengeneza the hottest couple hapa jukwaani?
Binafsi nadhani GENTAMYCINE na Numbisa wakipeana wakati nadhani hakuna couple inayoweza kuisogelea hii couple. Makelele yote ya huyu member wa kiume[???] Yangetulizwa na mdada[???].
Jamaniiiii!! ππππ
Nipo mitaa yenu na leoHehee
πππUnafaa kugombea ubunge kaka, unaanza kunikonvisi dah ππ
Khaaaaah!! πππππ
Ndugu yenu yupiπTukupatie ndugu yetu ni mstaarabu sana π
Atakuja tu ila anafahamika kama Edo kissy kijana mtaratibu na mtanashati ila siyo simp wala nice guy πNdugu yenu yupiπ