mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Ina maana kwa siku wanahudumia abiria 8 mpk 9 tu kama sijakoseaUngetuambia wasitani wa mtu tatu kwa siku ningekuelewa🤔.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana kwa siku wanahudumia abiria 8 mpk 9 tu kama sijakoseaUngetuambia wasitani wa mtu tatu kwa siku ningekuelewa🤔.
Hi wastani wa abiria wa4 kwa siku umeipata wapi, while ndege yenyewe inaenda mara 3 kwa wiki?250/30 =8.33
Sasa wastani wa abiria nane Kwa siku ni matumizi mabaya ya rasilimali watu na miundombinu hiyo ya uwanja na ndege!
Uwanja hauna tija hapo Chato!
Waongo waongo hao wanaificha aibuIna maana kwa siku wanahudumia abiria 8 mpk 9 tu kama sijakosea
Ova
Watoto na mke wa marehemuHao abiria anawatoa wapi?
Hi wastani wa abiria wa4 kwa siku umeipata wapi, while ndege yenyewe inaenda mara 3 kwa wiki?
Hii inamanisha abiria 63 kwa wiki (250÷4 weeks of the month)
Pia inamaanisha abiria 21 kwa wiki 250÷(4x3)
Km bombadia inauwezo wa abiria 76 ikitokea mwanza au ikiwa inaenda mwanza then 28% inachangiwa na huo uwanja....which is not bad
Unajua nyie ndio mlimpotosha Mwendazake...Usikariri maisha! Ushawahi kuuliza wakati JNIA au Kilimanjaro airport inaanza walianzaje? Nyinyi akili zenu zinawaza leo utafikiri Tanzania haitakuwepo baada ya miaka 50!
Hamna kitu hapo ujue.Walinda legacy mna kazi kweli,yaani abiria 250 kwa mwezi nayo unasifia!
Meneja wa uwanja wa ndege wa Chato amesema uwanja huo umefikia 95% ya ujenzi wake na kwamba uwanja huo umekuwa msaada mkubwa sana kwa wakazi wa kanda ya ziwa na nchi jirani.
Meneja amesema mpaka sasa kwa wasitani wana hudumia abiria 250 kwa mwezi na ndege za shirika la ATCL zinatua uwanjani hapo mara 3 kwa wiki. Pia shirika la TANAPA wanatumia mara kwa mara uwanja huo kwa shughuli zao za uhifadhi.
My take.
Huu ni uthibitisho tosha kuwa kila alichofanya Magufuli alifanya kwa masilahi ya taifa hili, na ujumbe huu uwafikie wote wenye roho za korosho na wapinga maendeleo wote ikiwemo timu gaidi.

Ndege unaofanya booking,Sasa unaweza kufanya booking ukapande ndege Chato ambayo ipo mara Moja Kwa wiki?Ni ngumu sana mtu kutoka Geita kwenda kupanda Chato,hata Mimi siwezi!Incase safari ikaahirishwa kutokana na sababu zozote,Huoni utapaa usumbufu mkubwa kuliko Mwanza ambapo ikitokea hivyo unaweza kucheki kama Kuna ndege nyingine siku hiyo au siku inayofuata!Bas
Kaka ndege sio basi! Unaposema uhakika maana yake unafikiria ndege unakata kiket hapo kwa papo! Usijifanye kuwa unahuruma na Kahama! Hata ungejengwa Kahama ungekuja hapa kurarama kwa nini wilaya iwe na uwanja wa ndege! Nyinyi hamna jema akili zenu zinaona leo tu!
Wao wanajua Chato hakuwa watu! Wapuuzi sana hawa mapimbi!Wewe si ulitwambia uwanja sasa watu wanaaka mhogo na mahindi?
Mkuu ndege ikitoka Mwanza na watu 76,wakatua Chato na akapanda mmoja basi uwanja unarecord umehudumia watu 76!Hi wastani wa abiria wa4 kwa siku umeipata wapi, while ndege yenyewe inaenda mara 3 kwa wiki?
Hii inamanisha abiria 63 kwa wiki (250÷4 weeks of the month)
Pia inamaanisha abiria 21 kwa wiki 250÷(4x3)
Km bombadia inauwezo wa abiria 76 ikitokea mwanza au ikiwa inaenda mwanza then 28% inachangiwa na huo uwanja....which is not bad
watu hawajashuka kwenye ndege or sio final destination yao una wahesabu vp?Hoja yangu haiko hapo,hoja yangu ni kuwa Je,uwanja Huo ulihitajika Sasa?Halafu hao 250 ni Pamoja na wale wanaoenda Mwanza!Yaani ndege ikitoka dar na watu 60,wawili wakashuka Chato na wengine 58 wakaenda kushukia Mwanza,basi wanarecord uwanja umehudumia watu 60!
Kwani uwanja wa Songea mfano unahudumia watu wangapi kwa siku.250/30 =8.33
Sasa wastani wa abiria nane Kwa siku ni matumizi mabaya ya rasilimali watu na miundombinu hiyo ya uwanja na ndege!
Uwanja hauna tija hapo Chato!
Tunautumia uwanja kuanika mpunga na MIHOGO, tumenufaika sana.Hapo chato labda wahudumie mbuzi na punda
Huo ni mwezi gani wenye siku nne? Au CCM ndo mnavyohesabu mwezi una siku nne ili kuhalalisha huo uwanja?
[/QUOT
Safari nne kwa mwezi, kwa wiki safari moja. Nihalalishe nini? Naweka hesabu Sawa tu.
OkayKiuchumi safari nne Kwa wiki haijakaa vizuri!Halafu ikumbukwe hizo safari kunakuwa na abiri wa kwenda Mwanza au dar ila wanalazimika kutua Chato!Mfano ndege destination ni Mwanza imetoka Dar,basi itapitia Chato kushusha abiria wawili watatu ndio iende Mwanza!Au ikitoka Mwanza,itatua Chato kupakia abiria kadhaa ndie iende Dar!
Hakuna route ambayo destination au Mwanzo wa safari ni Chato!