John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Je, Kama amebambikiwa Kesi utajuaje??Daaah! Huyu hapaswi kuwa mtumishi wa umma kwa hiki kitendo, ngoja tuwaachie wenye mamlaka wafanye kazi yao.
Sikatai maneno yako kwa hii nchi ilivyo hata hilo linawezekana kufanyika pia, ndio mana nikasema ngoja wenye mamlaka kwa maana ya mahakama na watu wa upelelezi wafanye kazi yao, uwezekano wa kuangushiwa jumba bovu pia yawezekana ikawepo siwezi kupingana na wewe kwenye hili.Je, Kama amebambikiwa Kesi utajuaje??
Tusimhukumu kabla ya kumsikiliza huyo Meneja wa TRA, huenda amebambikiwa hayo meno ya tembo ili kumkomoa Kama yule aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Bw. Yahaya Nawanda.
Hapo anatamni siku irudi nyuma ila wapi ndio kimeshanukaa..!#HABARI Meneja wa TRA wilayani Kibondo mkoani Kigoma Irving Mutegeki, anashikiliwa na Jeshi la polisi wilayani Kakonko mkoani humo kwa tuhuma za kukutwa na meno ya Tembo.
Taarifa zimeeleza kuwa Mutegeki amekamatwa na nyara hizo usiku wa kuamkia leo Julai 2, 2024 akiwa kwenye gari binafsi na anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi.
#EastAfricaTV
Miaka 30Hapo anatamni siku irudi nyuma ila wapi ndio kimeshanukaa..!
Isiwe kachomekewa na wahuni!#HABARI Meneja wa TRA wilayani Kibondo mkoani Kigoma Irving Mutegeki, anashikiliwa na Jeshi la polisi wilayani Kakonko mkoani humo kwa tuhuma za kukutwa na meno ya Tembo.
Taarifa zimeeleza kuwa Mutegeki amekamatwa na nyara hizo usiku wa kuamkia leo Julai 2, 2024 akiwa kwenye gari binafsi na anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi.
#EastAfricaTV
kwamba kapishaan na wakubwa 😀Isiwe kachomekewa na wahuni!
#HABARI Meneja wa TRA wilayani Kibondo mkoani Kigoma Irving Mutegeki, anashikiliwa na Jeshi la polisi wilayani Kakonko mkoani humo kwa tuhuma za kukutwa na meno ya Tembo.
Taarifa zimeeleza kuwa Mutegeki amekamatwa na nyara hizo usiku wa kuamkia leo Julai 2, 2024 akiwa kwenye gari binafsi na anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi.
#EastAfricaTV
Dah!! Kweli pesa haitoshi.....hiyo ngozi yake tu anaonekana hana shida za rejareja.
Usiwaamini Polisi wa Tanzania.Duh,na mshahara mnono wa tra,bado hatosheki
Eeh mkuu!kwamba kapishaan na wakubwa 😀
Dogo, unahesabu mirathi sehemu ya mali zako?Madini
Mikopo
Biashara
Posho
Mishahara
Miradi
Mirathi
mwachie tembo meno yake
Tusiwe wepesi kuhukumu dunia inaenda kasi sana binaadamu wana mambo mengi sana tuache vyombo vya uchunguzi na mahakama vifanye kazi zake
Jeshi la Polisi Wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma linamshikilia Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Wilayani humo Irving Mutegeki kwa tuhuma za kukutwa na meno ya Tembo.
Mutegeki Bagasheki amekamatwa na nyara hizo za Serikali Wilaya ya Kibondo Julai 2, 2024 akiwa kwenye gari binafsi majira ya usiku na anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi.
Meneja huyo wa TRA anadaiwa amekuwa akifanya biashara ya meno ya Tembo kutoka Wilaya ya Kibondo na Kakonko kwenda mikoa mbalimbali nchini na nje ya nchi ikiwemo Burundi.