FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #81
Kwa taarifa yako, ukiishi na mwanamke pamoja bila kufunga ndoa Kuanzia miezi 6 na kuendelea, huyo mwanamke anakuwa na haki zote za mke wa Ndoa kisheria
Nimekuuliza, nikiishi na house girl kwa kiezi hiyo 6 anakuwa mke wangu?Kati ya wewe na aliyefunga Ndoa hakuna tofauti yoyote..
Huyo 'mwenzi wako' ana haki zote za mke wa ndoa. Yaani kisheria hakuna ulichokwepa!
Kama kuna ushahidi kuwa umekuwa unamkula muda wote huo (eg kama mmezaa), Yes!Nimekuuliza, nikiishi na house girl kwa kiezi hiyo 6 anakuwa mke wangu?
Ndugu, nimeoa huu ni mwaka wa saba sasa, na nina watoto wa nne
Hizo camera zilizotuchungulia kwa muda wa miezi 6 kwamba tumekuwa tukilana mahakama itazitoa wapi?Kama kuna ushahidi kuwa umekuwa unamkula muda wote huo (eg kama mmezaa), Yes!
Mfano, hapa unachomoka vipi?!!!
👇👇
Mkuu, sijui unamaanisha nini hapo na muda wa kubishana Sina..Hizo camera zilizotuchungulia kwa muda wa miezi 6 kwamba tumekuwa tukilana mahakama itazitoa wapi?
Kwamba unahitaji kufanya tendo kwa mida wa miezi 6 kupata watoto wanne? Siku 4 tu si zinatosha at given intervals? Na kwa siku zote zingine nikisema tulikuwa na ugomvi ili tuliamua kufanya siri ili tu tulee watoto utabisha?
Ndugu, nimeoa huu ni mwaka wa saba sasa, na nina watoto wa nne
Kuishi kama mke kukoje ndugu? Kama haimaanishi nimgegede it means nikiishi na house girl kwa miezi 6 anakuwa mke wangu? ... maana hakuna kugegeda sio?Mkuu, sijui unamaanisha nini hapo na muda wa kubishana Sina..
Sheria haisemi umgegede kwa idadi ya siku kadhaa, kinachoangaliwa ni muda ulioishi naye kama mke whether or not kuna Ndoa!
Elewa tu kuwa confession yako hapa chini (kukaa naye unyumba miaka 7 + kuzaa watoto) inampa huyo mwanamke wako haki zoote za mke halali..
👇👇
Kwamba huyo mwanamke hana mdomo wa kuongea, ni wewe tu utaongea?!Kuishi kama mke kukoje ndugu? Kama haimaanishi nimgegede it means nikiishi na house girl kwa miezi 6 anakuwa mke wangu? ... maana hakuna kugegeda sio?
Hii confession nimeisema hapa JF underfake ID , kwani mahakamani nitakiri sasa? 😂, bro vipi mbona wenge...
Oa lakin usifunge ndoa utakuja kunishukuruMWANAMKE HAPATI KITU KWANGU.....NASEMA TENA MWANAMKE HATOPATA KITU KWANGU...kumbukeni maneno HUUMBA.
Sasa si itakuwa her word against mine? Hapo inakuwa ni dead lock na yeye na wakili wake ndio wanakuwa na ‘burden of proof’ kuvunja deadlock sio mimi, kwamba kwanini mahakama imuamini yeye na sio mimi?Kwamba huyo mwanamke hana mdomo wa kuongea, ni wewe tu utaongea?!
Hao watoto wanne wamepatikana vipi bila kit*mbo?!
Ngoja ukiburuzwa ubaoni ndo utajua hujui
[emoji23][emoji23]Naomba nimwite raisi wa chama Cha kataa ndoa honourable Liverpool VPN na mwenyekiti wa chama Cha mkono bao na sheria ya kumwaga nje dronedrake wamekipigania chama sana
Mkuu ili wala usilete ubishi, sheria ziko wazi kabisa, ukiishi na mwanamke kwa miezi sita mfululizo (sio wale wa kuja kufua nguo wikendi), huyo ni mkeo kisheria. Majirani na viongozi wa mtaa huwa mashahidi muhimu sna kuback up utetezi wa mkeSasa si itakuwa her word against mine? Hapo inakuwa ni dead lock na yeye na wakili wake ndio wanakuwa na ‘burden of proof’ kuvunja deadlock sio mimi, kwamba kwanini mahakama imuamini yeye na sio mimi?
Nilikuuliza awali, unahitaji miezi 6 za kufanya tendo ili kupata watoto wa4? Siku 4 tu si zinatosha at given intervals?
Otherwise hizo Camera zilizotuchungulia kwa miezi 6 kuona kama tuliishi kama mume na mke zitatoka wapi?
Vipi nikiishi na house girl miezi 6 mfululizo? Au yeye sio mwanamke? Au sina haki ya kuwa na house girl ninayemlipa?Mkuu ili wala usilete ubishi, sheria ziko wazi kabisa, ukiishi na mwanamke kwa miezi sita mfululizo (sio wale wa kuja kufua nguo wikendi), huyo ni mkeo kisheria. Majirani na viongozi wa mtaa huwa mashahidi muhimu sna kuback up utetezi wa mke
Mkuu naona hii sheria ya ndoa ilifanyiwa marekebisho 2019, Waweza ipitia pia.Vipi nikiishi na house girl miezi 6 mfululizo? Au yeye sio mwanamke? Au sina haki ya kuwa na house girl ninayemlipa?
We pitia halafu rudi jukwaani utupe elimuMkuu naona hii sheria ya ndoa ilifanyiwa marekebisho 2019, Waweza ipitia pia.