Mengi, Mrema, Msuya, Mwaka na Manara, wote walikosea wakafunga Ndoa badala ya kuoa

Kama kuna ushahidi kuwa umekuwa unamkula muda wote huo (eg kama mmezaa), Yes!

Mfano, hapa unachomoka vipi?!!!
👇👇
Hizo camera zilizotuchungulia kwa muda wa miezi 6 kwamba tumekuwa tukilana mahakama itazitoa wapi?

Kwamba unahitaji kufanya tendo kwa mida wa miezi 6 kupata watoto wanne? Siku 4 tu si zinatosha at given intervals? Na kwa siku zote zingine nikisema tulikuwa na ugomvi ili tuliamua kufanya siri ili tu tulee watoto utabisha?
 
Mkuu, sijui unamaanisha nini hapo na muda wa kubishana Sina..

Sheria haisemi umgegede kwa idadi ya siku kadhaa, kinachoangaliwa ni muda ulioishi naye kama mke whether or not kuna Ndoa!

Elewa tu kuwa confession yako hapa chini (kukaa naye unyumba miaka 7 + kuzaa watoto) inampa huyo mwanamke wako haki zoote za mke halali..

👇👇
Ndugu, nimeoa huu ni mwaka wa saba sasa, na nina watoto wa nne
 
Mkuu, sijui unamaanisha nini hapo na muda wa kubishana Sina..

Sheria haisemi umgegede kwa idadi ya siku kadhaa, kinachoangaliwa ni muda ulioishi naye kama mke whether or not kuna Ndoa!

Elewa tu kuwa confession yako hapa chini (kukaa naye unyumba miaka 7 + kuzaa watoto) inampa huyo mwanamke wako haki zoote za mke halali..

👇👇
Kuishi kama mke kukoje ndugu? Kama haimaanishi nimgegede it means nikiishi na house girl kwa miezi 6 anakuwa mke wangu? ... maana hakuna kugegeda sio?

Hii confession nimeisema hapa JF underfake ID , kwani mahakamani nitakiri sasa? 😂, bro vipi mbona wenge...
 
Kwamba huyo mwanamke hana mdomo wa kuongea, ni wewe tu utaongea?!

Hao watoto wanne wamepatikana vipi bila kit*mbo?!
Ngoja ukiburuzwa ubaoni ndo utajua hujui
 
Sasa si itakuwa her word against mine? Hapo inakuwa ni dead lock na yeye na wakili wake ndio wanakuwa na ‘burden of proof’ kuvunja deadlock sio mimi, kwamba kwanini mahakama imuamini yeye na sio mimi?

Nilikuuliza awali, unahitaji miezi 6 za kufanya tendo ili kupata watoto wa4? Siku 4 tu si zinatosha at given intervals?

Otherwise hizo Camera zilizotuchungulia kwa miezi 6 kuona kama tuliishi kama mume na mke zitatoka wapi?
 
Mkuu ili wala usilete ubishi, sheria ziko wazi kabisa, ukiishi na mwanamke kwa miezi sita mfululizo (sio wale wa kuja kufua nguo wikendi), huyo ni mkeo kisheria. Majirani na viongozi wa mtaa huwa mashahidi muhimu sna kuback up utetezi wa mke
 
Vipi nikiishi na house girl miezi 6 mfululizo? Au yeye sio mwanamke? Au sina haki ya kuwa na house girl ninayemlipa?
 
Nafikiliaga sanaa ndoa za mkataba ila nikimaliza kufikiria nawaza Mungu juu ya dini
 
Back
Top Bottom