Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
- Thread starter
-
- #241
Tukiongea kwa lafudhi zetu za kisukuma tabu....tukiiga za kimarekani tabu.......kazi ipo
Daaah...Do.....keep in mind that ladies always come first.
Huwa nashangaa sana wanaume wanaotangulia kuingia mahali hata kama wako na wenzi wao wanawa acha nyuma hata hawashikii mlango na wanaweza hata kugongwa. Ladies first guys!
Hold doors for ladies, open a car door for your lady and don't slam it on her so that you look like a gentleman and polished.
Sure mkuuUkiongea kwa lafudhi ya kikwenu ni burudani, ila unaheshimika kwa sababu ndivyo ulivyo. Ila watu wanaolazimisha lafudhi za watu ndio dah! kuna zinaowakubali, wanatoka fresh.
Nimeacha kuanzia leo....nitaongea kwa mgandamizo ule ule! Ila kuna binti mmoja akiongea Kiswahili ana accent ya Kikuria ila akiongea Kiingereza kama Muiingereza vile yaani nashindwa kushangaaNajaribu kuemagine msukuma akitaka kuweka kaslang, uwiiii!!
We kandamiza tu inanogaje! Duuuh huyo noma.Nimeacha kuanzia leo....nitaongea kwa mgandamizo ule ule! Ila kuna binti mmoja akiongea Kiswahili ana accent ya Kikuria ila akiongea Kiingereza kama Muiingereza vile yaani nashindwa kushangaa
Kiukweli mimi hii issue ya mwanaume kumfungulia mwanamke mlango wa gari nimeiona kwenye movie na tamthilia tu, in really life sijawahi kubahatika kuona.Daaah...
Kumbe hii nayo ni Fashion.....?
Lakini hua inategemea asubuhi unamuwahisha kazini na wewe uwahi na mishe zako uanze kushuka seriously unamfungulia mlango?
Nguo je?Kiatu,Saa,Simu na Pafyum hua vinasema wewe ni mwanaume wa aina gani...
Wanasema ukiona mwanaume wa kiafrika anamfungulia mlango wa gari mwanamke ujue mlango huo ni mbovu au huyo ni mlinzi.Kiukweli mimi hii issue ya mwanaume kumfungulia mwanamke mlango wa gari nimeiona kwenye movie na tamthilia tu, in really life sijawahi kubahatika kuona.
Nakumbuka niliwahi kufanya mara moja tu ila ni kwasababu gari nililoazima mlango ulikuwa mbovu unafunguka kwa nje tu!!
Nguo je?
Owkayy....Binafsi hapana nguo sio sana
Kuna mtu anavaa nguo ya bei ghali bado anaonekana mporipori na mwingine anaokota okota then anapendeza sana....
Ha ha haaaWanasema ukiona mwanaume wa kiafrika anamfungulia mlango wa gari mwanamke ujue mlango huo ni mbovu au huyo ni mlinzi.
Daaah...
Kumbe hii nayo ni Fashion.....?
Lakini hua inategemea asubuhi unamuwahisha kazini na wewe uwahi na mishe zako uanze kushuka seriously unamfungulia mlango?
"Si lazima kila mahali"Si fashion inabidi iwe kawaida.
Kwani kufungua mlango unatumia muda gani Benny ?!
Si lazima kila wakati mnapotoka kuna mahala inaweza kuwa ngumu kidogo lakini inapowezekana kutokea inapendeza zaidi.
It's more romantic and shows you extra care.
Si fashion inabidi iwe kawaida.
Kwani kufungua mlango unatumia muda gani Benny ?!
Si lazima kila wakati mnapotoka kuna mahala inaweza kuwa ngumu kidogo lakini inapowezekana kutokea inapendeza zaidi.
It's more romantic and shows you extra care.
Ni kweli kabisa mkuu...Owkayy....
Wanasema mavazi yako yanakuwakilisha jinsi ulivyo
Kuna duka la levi's lipo kariakoo mtaa wa samora..ila sidhani kama utamudu price...suruali zinaizwa hadi laki unusu,ila ukimudu utaivaa hadi mvi kama tu hautoimwagia tindikali..Hivi mkuu jinsi za levis kwa hapa Dar zinapatikana wapi na bei zake zinaanzia shilingi ngapi....??
Teh wanavyokupenda hao hawawezi kukudunda tehAlafu wewe ni mchochezi, nikidundwa unahusika.