Men's Fashion: DOs and DONTs

Men's Fashion: DOs and DONTs

Tukiongea kwa lafudhi zetu za kisukuma tabu....tukiiga za kimarekani tabu.......kazi ipo

Ukiongea kwa lafudhi ya kikwenu ni burudani, ila unaheshimika kwa sababu ndivyo ulivyo. Ila watu wanaolazimisha lafudhi za watu ndio dah! kuna zinaowakubali, wanatoka fresh.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Do.....keep in mind that ladies always come first.

Huwa nashangaa sana wanaume wanaotangulia kuingia mahali hata kama wako na wenzi wao wanawa acha nyuma hata hawashikii mlango na wanaweza hata kugongwa. Ladies first guys!

Hold doors for ladies, open a car door for your lady and don't slam it on her so that you look like a gentleman and polished.
Daaah...

Kumbe hii nayo ni Fashion.....?

Lakini hua inategemea asubuhi unamuwahisha kazini na wewe uwahi na mishe zako uanze kushuka seriously unamfungulia mlango?
 
Najaribu kuemagine msukuma akitaka kuweka kaslang, uwiiii!!
Nimeacha kuanzia leo....nitaongea kwa mgandamizo ule ule! Ila kuna binti mmoja akiongea Kiswahili ana accent ya Kikuria ila akiongea Kiingereza kama Muiingereza vile yaani nashindwa kushangaa
 
Nimeacha kuanzia leo....nitaongea kwa mgandamizo ule ule! Ila kuna binti mmoja akiongea Kiswahili ana accent ya Kikuria ila akiongea Kiingereza kama Muiingereza vile yaani nashindwa kushangaa
We kandamiza tu inanogaje! Duuuh huyo noma.
 
Daaah...

Kumbe hii nayo ni Fashion.....?

Lakini hua inategemea asubuhi unamuwahisha kazini na wewe uwahi na mishe zako uanze kushuka seriously unamfungulia mlango?
Kiukweli mimi hii issue ya mwanaume kumfungulia mwanamke mlango wa gari nimeiona kwenye movie na tamthilia tu, in really life sijawahi kubahatika kuona.

Nakumbuka niliwahi kufanya mara moja tu ila ni kwasababu gari nililoazima mlango ulikuwa mbovu unafunguka kwa nje tu!!
 
Wanasema ukiona mwanaume wa kiafrika anamfungulia mlango wa gari mwanamke ujue mlango huo ni mbovu au huyo ni mlinzi.
 
Daaah...

Kumbe hii nayo ni Fashion.....?

Lakini hua inategemea asubuhi unamuwahisha kazini na wewe uwahi na mishe zako uanze kushuka seriously unamfungulia mlango?

Si fashion inabidi iwe kawaida na inaongeza utanashati

Kwani kufungua mlango unatumia muda gani Benny ?!
Si lazima kila wakati mnapotoka, na kuna mahala inaweza kuwa ngumu kidogo lakini inapowezekana kutokea inapendeza zaidi.

It's more romantic and shows you extra care.
 
Si fashion inabidi iwe kawaida.

Kwani kufungua mlango unatumia muda gani Benny ?!
Si lazima kila wakati mnapotoka kuna mahala inaweza kuwa ngumu kidogo lakini inapowezekana kutokea inapendeza zaidi.

It's more romantic and shows you extra care.
"Si lazima kila mahali"

Hapo nimekuelewa mkuu kuna wakati mambo yanakua mengi

Japo kwa wakati fulan kweli inapendeza
 
Si fashion inabidi iwe kawaida.

Kwani kufungua mlango unatumia muda gani Benny ?!
Si lazima kila wakati mnapotoka kuna mahala inaweza kuwa ngumu kidogo lakini inapowezekana kutokea inapendeza zaidi.

It's more romantic and shows you extra care.

Huwa nawafungulia sana milango ya grocery stores kina dada. Supervisor wangu mwenyewe namfungulia mlango wa ofisi kila napoweza. Ila hapo kwenye mlango wa gari ndio nimeshindwa.

Sema wanamama wa kibongo ni bora uwafungulie na kufunga, kwa sababu baadhi huwa wanabamiza milango ya gari kama wanaua kitu vile.
 
Wanasema ukiona mwanaume wa kiafrika anamfungulia mlango wa gari mwanamke ujue mlango huo ni mbovu au huyo ni mlinzi.

atoto na RRONDO seriously! 😀

Wapo lakini jamani wanaume wa kiafrica wanafanya hizi now and then.
 
Hivi mkuu jinsi za levis kwa hapa Dar zinapatikana wapi na bei zake zinaanzia shilingi ngapi....??
Kuna duka la levi's lipo kariakoo mtaa wa samora..ila sidhani kama utamudu price...suruali zinaizwa hadi laki unusu,ila ukimudu utaivaa hadi mvi kama tu hautoimwagia tindikali..
 
Back
Top Bottom