Mercedes Benz G Wagon lina upekee gani?

1978 ushatimba america yan wengine hata atujazaliwa hapo,kweli baharia azeeki
 
Dollar, nchi ilitakiwa iuze vitu nje, sio kuongeza ushuru. Ongezeko lao la ushuru na uhaba wa dollar havihusiani.. maana huo ushuru bado unalipwa kwa local sarafu..
Ishu ni kwamba huko unakolipia Gwagon unalipia kwa dollar sio Shilingi. Imagine unalipa dola robo hadi nusu milioni kwa ajili ya gari. Ndio maana ushuru unapanda kutokana na aina ya gari. Magari ya kifahari yenye bei yana ushuru mkubwa. Hapa hatuna kiwanda kinacho export kwenda Marekani au Ulaya kwenye Euro na Dollar. Ukiangalia bishara zote zinazohitaji dollar wameshikilia watanzania wenye asili ya Asia. Wanaomiliki Tenda za kuagiza mbolea na mafuta uwekezaji wao hapa nchini haulingani na faida wanayoipata na Tenda hizo. Watu wana viwanda huku wamepanga Upanga hela inawekezwa nje. Inabidi tukomae na biashara zinazoweza kuzalisha dollar kama Utalii. Lakini cha kushangaza Serengeti na uwanja wa KIA tumewapa waarabu. Tunalalamika hatuna dola wakati kinachotuzalishia dollar tumeshakigawa ?
 
Utafiti wao unadai kwamba, G Wagon tokea waanze kuzizalisha, 80% bado zipo road. Huku kwetu zile za miaka 80-90 bado zinaonekana road.
Wala sina ubishi na hilo mkuu, magari yote na technology ya mjerumani ipo juu sana
Wako makini sana kwa wanachokifanya kulinda heshima yao
Hata muingereza kwa Land Rover alikuwa hivyo ila kamuuzia Mhindi sasa
Mjerumani anasema hauzi
1978 ushatimba america yan wengine hata atujazaliwa hapo,kweli baharia azeeki
😆 😂
Sio USA mkuu ni kuna mataifa yana amani na hela huko mashariki ya kati
Tuzeeke wapi yaani kama Mishipa ya damu inapitisha damu vizuri hata 100 unagonga 😄 🤣
 
Safi sana mkuu 😂
 
Ni Ngorongoro tu mkuu! Serengeti tunaimiliki wenyewe na kuendesha wenyewe ila sina uhakika kama na mapato yake tunayafaidi wenyewe!
 
Hakuna gari mpya niliyoendesha ina zero mile
Ya chini kabisa ilikuwa Audi Q8 ilikuwa na 3 miles tu

Waswahili ndio wameleta huo msemo wa zero km 😄
Gari lazima lijaribiwe kiwandani na matairi lazima yazunguke
Ni sawa na nyumba mpya, fundi alishaingia na kutoka sana tu na pengine alishalala na kujisaidia humo ila akikukabidhi unaita marafiki kuwa nina nyumba mpya kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…