Mercenaries kutoka Romania waomba njia Rwanda kurudi kwao

Mercenaries kutoka Romania waomba njia Rwanda kurudi kwao

Kongo ina Wapiganaji mahiri sana lakini haitaki kuwatumia, kama mimi nigekuwq ndio Raisi wa Kongo ningewaiingiza M23 wote kwenye jeshi halafu nikawatuma waende kuwaondoa FLDR na Interahamwe waliovamia Kongo baada ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 na kuwakabidhi Rwanda.
Kikwete alimpa ushauri mzuri KAGAME, Wayamalize na FLDR, nahata hao M23 bado ni wanyarwanda kwahio KAGAME na upande ule MSEVEN wakae na watu wao wayamalize.
 
Ripoti za UN zimethibitisha hilo.....

Rwanda ina askari wake 4000+ wanaoshirikiana na M23 kupigana na jeshi la Drc.
Usiwaamini sana UN, unakumbuka wakati wa Mauaji ya Kimbari ya Rwanda UN walikuwa wanasema Interahamwe zilizokimbila kongo zinakimbia mauaji yanayofanywa na RPF.

UN ni biashara kubwa sana na hii migogoro inachochwlewa ili isiishe.
 
Kongo ina Wapiganaji mahiri sana lakini haitaki kuwatumia, kama mimi nigekuwq ndio Raisi wa Kongo ningewaiingiza M23 wote kwenye jeshi halafu nikawatuma waende kuwaondoa FLDR na Interahamwe waliovamia Kongo baada ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 na kuwakabidhi Rwanda.
Hao M23 wakati ule Bado wanaitwa CNDP mbona walishawahi kuingizwa jeshini?lakini walipoona Serikali inaleta miyeyusho wakarudi porini na silaha zao
 
Hao M23 wakati ule Bado wanaitwa CNDP mbona walishawahi kuingizwa jeshini?lakini walipoona Serikali inaleta miyeyusho wakarudi porini na silaha zao
Walianza kuuwawa wakiwa makambini Wakongo wamelishwa Propaganda na misinformation kuwa Watutsi wa Kongo sio Wakongo na kwamba ni "maadui".
 
Walianza kuuwawa wakiwa makambini Wakongo wamelishwa Propaganda na misinformation kuwa Watutsi wa Kongo sio Wakongo na kwamba ni "maadui".
Shauli ndugu zako wanyarwanda wawaingize jeshini ndugu zao waliokimbilia Congo, mfate ushauri wa kikwete.
 
Hebu msikilize Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere halafu ukae kimya na sio kunibadilishia ID.

View: https://youtu.be/fu83XspMZA4?si=1WwnNA9ZGRnuDs2j

Nazungumzia warwanda waliokimbilia Congo, ambao mnadai walifanya genocide kwenu wanyarwanda (Propaganda) muongee nao muwaingize jeshini warudi Rwanda mjenge nchi. Kisha baada ya hapo wacongoman watayafikiria hayo ya Nyerere. Pia uganda nae awachukue ndugu zake.

Namlaumu sana Nyerere kuwafuga Mseven na baba yako Paul, kama angeifanya Rwanda sehemu ya Tz amani ingekua imetawala kabisa. Na ndugu zako wengine wapo Burundi ndugu mnyarwanda.
 
Back
Top Bottom