Mercenaries kutoka Romania waomba njia Rwanda kurudi kwao

Mercenaries kutoka Romania waomba njia Rwanda kurudi kwao

Si huwa mnasema hivyo hivyo kuhusu Waisraeli kwahiyo sasa imehamia kwa Watutsi?!
Wewe ni mhaini!

Na mnapotupeleka tutafika tu!

Kwani kila siku tunazidi kuwa na mashaka na watutsi.

Si unaona CDF alishalizungumzia hili?!
 
Hakuna mtu kaiumiza Tanzania kama Mwl Nyerere,huyu kwa asili ni mtutsi.

Hii katiba mbovu ya Tanzania ni matunda ya Mwl Nyerere.

Nikimwona mtu anapenda kuchukua reference kutoka kwa Mwl Nyerere namshangaa sana.
Katiba sio msaafu hata yy mwenyewe alikiri kwenye awamu yake kuna vitu alivyo vifanya ni vya maana na vingine sio vya maana na akakiri mapungufu yake na Akaongezea tatizo la Tz,wanakumbatia yale ya kipuuzi na kuacha ya maana.
 
Aah wapi!

Mtu ambaye muoga anaogopa mpaka kivuli chake!

Hamna kitu hapo! Mzee wenu ni muoga ndiyo maana anauwa hovyo raia wake ndani ya nchi na nje ya nchi.
Muoga ni yule Sultani wa Kiarabu wa Zanzibar aliyepigwa na kufukuzwa Zanzibar.

Waoga ni Waarabu ambao hawajawahi kushinda Vita tokea enzi za Vita ya Majambia.
 
Back
Top Bottom