We nae wale wale. Nikupe mfano wa karibu: nini kiliondoa SADC Mozambique!? Mradi wa Total wa wafaransa unalindwa na nani huko(kama hujui ni jeshi la Rwanda). Msaada wa milioni karibia 50 za Euro waliopewa Rwanda kuhusu Mozambique, unadhaniulikuwa wa nini? Haya, leo hii Mfaransa ajitenge na mnyarwanda!? Madini ya Congo si ndo yanayengeneza hizo Iphone unazotumia!? Kwa hiyo, Trump yupo tayari kuzuia biashara hiyo!? Ukisikia siasa ni mchezo mchafu, elewa. Kukemea wanakemea wanayoyajua wao. Kwani unadhani Traoré anavyojitenga haelewi kinachoendelea!? Ogopa maraisi wanaojibu kwa nyodo, wanaoishi maisha ya kifahari, wana business zaona hao wanaojiita wanajua kukemea.
Hivi uliwahi kujiuliza, kuliko yule mbwa mmoja wa wale makomando afe, bora wafe raia 100. Uliwahi jiuliza kwa nini!?