Kama Jeshi la Kongo linapigana bega kwa bega na FLDR kwanini Rwanda ikae tu inaangalia?!KWA hiyo Trump hajui hilo hadi kuwataka Rwanda watoe vikosi?..umoja wa mataifa unawasingizia, tshisekedi nae anawasingizia?
Hilo ni jingine,tupo kwenye hili la RPF kuwa na askari ndani m23 na kuki-finance,unakiri hilo?Kama Jeshi la Kongo linapigana bega kwa bega na FLDR kwanini Rwanda ikae tu inaangalia?!
Huwezi ukayatenganisha hayo mawili, yaani uwepo wa FLDR wakisaidiana na Jeshi la Congo na uwepo Rwanda kusaidia M23.Hilo ni jingine,tupo kwenye hili la RPF kuwa na askari ndani m23 na kuki-finance,unakiri hilo?
M23 ni jeshi la RwandaCongolese Tutsis tokea lini wamekuwa ni "jeshi la Rwanda"?
PropagandaM23 ni jeshi la Rwanda
Kikwete alimpa ushauri mzuri KAGAME, Wayamalize na FLDR, nahata hao M23 bado ni wanyarwanda kwahio KAGAME na upande ule MSEVEN wakae na watu wao wayamalize.Kongo ina Wapiganaji mahiri sana lakini haitaki kuwatumia, kama mimi nigekuwq ndio Raisi wa Kongo ningewaiingiza M23 wote kwenye jeshi halafu nikawatuma waende kuwaondoa FLDR na Interahamwe waliovamia Kongo baada ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 na kuwakabidhi Rwanda.
Ripoti za UN zimethibitisha hilo.....Propaganda
Usiwaamini sana UN, unakumbuka wakati wa Mauaji ya Kimbari ya Rwanda UN walikuwa wanasema Interahamwe zilizokimbila kongo zinakimbia mauaji yanayofanywa na RPF.Ripoti za UN zimethibitisha hilo.....
Rwanda ina askari wake 4000+ wanaoshirikiana na M23 kupigana na jeshi la Drc.
Hao M23 wakati ule Bado wanaitwa CNDP mbona walishawahi kuingizwa jeshini?lakini walipoona Serikali inaleta miyeyusho wakarudi porini na silaha zaoKongo ina Wapiganaji mahiri sana lakini haitaki kuwatumia, kama mimi nigekuwq ndio Raisi wa Kongo ningewaiingiza M23 wote kwenye jeshi halafu nikawatuma waende kuwaondoa FLDR na Interahamwe waliovamia Kongo baada ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 na kuwakabidhi Rwanda.
Walianza kuuwawa wakiwa makambini Wakongo wamelishwa Propaganda na misinformation kuwa Watutsi wa Kongo sio Wakongo na kwamba ni "maadui".Hao M23 wakati ule Bado wanaitwa CNDP mbona walishawahi kuingizwa jeshini?lakini walipoona Serikali inaleta miyeyusho wakarudi porini na silaha zao
Vita vina mbinu nyingi na ukiona umezidiwa una retreat una resupply unapigana another day ukishupaza shingo unaweza kujikuta umemalizwa.Kwa nini wakimbie vitani?
Shauli ndugu zako wanyarwanda wawaingize jeshini ndugu zao waliokimbilia Congo, mfate ushauri wa kikwete.Walianza kuuwawa wakiwa makambini Wakongo wamelishwa Propaganda na misinformation kuwa Watutsi wa Kongo sio Wakongo na kwamba ni "maadui".
Hebu msikilize Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere halafu ukae kimya na sio kunibadilishia ID.Shauli ndugu zako wanyarwanda wawaingize jeshini ndugu zao waliokimbilia Congo, mfate ushauri wa kikwete.
Nazungumzia warwanda waliokimbilia Congo, ambao mnadai walifanya genocide kwenu wanyarwanda (Propaganda) muongee nao muwaingize jeshini warudi Rwanda mjenge nchi. Kisha baada ya hapo wacongoman watayafikiria hayo ya Nyerere. Pia uganda nae awachukue ndugu zake.Hebu msikilize Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere halafu ukae kimya na sio kunibadilishia ID.
View: https://youtu.be/fu83XspMZA4?si=1WwnNA9ZGRnuDs2j