Sio swala la kufikiria ni swala la kuukaa mezani na kumalizana na Watutsi wa Kongo kama ikishindikana wataamua kujitenga na DRC na kuanzisha Jamhuri ya Kivu.wacongoman watayafikiria hayo ya Nyerere.
Ndio nani huyo?Wewe na imhotep ni wamoja!?..au ni mtu yuleyule?
Huenda kuna Ukweli kuhusu suala hili.Ripoti za UN zimethibitisha hilo.....
Rwanda ina askari wake 4000+ wanaoshirikiana na M23 kupigana na jeshi la Drc.
Upende usipende, huu mzozo wa siku nyingi. Kagame aliwahi mwambia Kabila(aliekuwa raisi enzi hizo), kwamba kama hawa watu unawafukuza, waje Rwanda, kwa kuwa wanaongea kinyarwanda, ntawapokea. Ila sasa, hakikisha wanakuja na mali zao na ardhi yao. Hawa watu, kabla ya 1886, wakati wakoloni wanakata mipaka, Kivu zote zilikuwa ardhi ya Rwanda. Mpaka sasa majina mengi yasiyopungua 80%,ya vijiji na maeneo tofauti tofauti huko, ni ya Kinyarwanda. Uganda, ilikuwa hivo hivo. Kama si matango tunayolishwa, Karagwe inasemekana ilikuwa Rwanda(nivitabu tunasoma tu uhakika wanajua wazungu). Uganda kuna kabila linaitwa Banyarwanda. Ndo hao hao waliojikuta Uganda baada ya mipaka kukatwa. Wakzaliwa na kuzaliana na kuoana na waliobaki Rwanda, mpaka leo. Hao watu, waende wapi!? Ni wa nchi gani hapo!?Yaani Tshekedi aliingize jeshi la Rwanda kwenye jeshi la nchi yake?....
We nae wale wale. Nikupe mfano wa karibu: nini kiliondoa SADC Mozambique!? Mradi wa Total wa wafaransa unalindwa na nani huko(kama hujui ni jeshi la Rwanda). Msaada wa milioni karibia 50 za Euro waliopewa Rwanda kuhusu Mozambique, unadhaniulikuwa wa nini? Haya, leo hii Mfaransa ajitenge na mnyarwanda!? Madini ya Congo si ndo yanayengeneza hizo Iphone unazotumia!? Kwa hiyo, Trump yupo tayari kuzuia biashara hiyo!? Ukisikia siasa ni mchezo mchafu, elewa. Kukemea wanakemea wanayoyajua wao. Kwani unadhani Traoré anavyojitenga haelewi kinachoendelea!? Ogopa maraisi wanaojibu kwa nyodo, wanaoishi maisha ya kifahari, wana business zaona hao wanaojiita wanajua kukemea.KWA hiyo Trump hajui hilo hadi kuwataka Rwanda watoe vikosi?..umoja wa mataifa unawasingizia, tshisekedi nae anawasingizia?
Hao viumbe kutokana na tabia zao wanasababisha jamii nyengine kuanza kujiuliza maswali kuhusu mwenendo wao na wakiambiwa ukweli kuhusu tabia zao mbovu utasikia wanasema ubaguzi.
Kwani uongo?Usiwaamini sana UN, unakumbuka wakati wa Mauaji ya Kimbari ya Rwanda UN walikuwa wanasema Interahamwe zilizokimbila kongo zinakimbia mauaji yanayofanywa na RPF.
UN ni biashara kubwa sana na hii migogoro inachochwlewa ili isiishe.
Mbona wewe ulikuwa unapambana sana kumtetea Gaidi lako la Kiarabu Yahya Sinwar?Unapambana sana kumtetea mtutsi mwenzako PK na mambo yake ya hovyo!
Kwa wababu Palestina wanaonewa!Mbona wewe ulikuwa unapambana sana kumtetea Gaidi la Kiarabu Yahya Sinwar?
Watutsi pia wanaonewa!Kwa wababu Palestina wanaonewa!
Watutsi wameshajithibitishia wenyewe ni blood suckers!Watutsi pia wanaonewa!
Mwarabu hawezi kunishika uhaini.
Na Mimi naiona hiyo Nchi ,miaka michache ijayo ! Je,ila dhana ya Bahima Empire itakuwa imetimia?Sio swala la kufikiria ni swala la kuukaa mezani na kumalizana na Watutsi wa Kongo kama ikishindikana wataamua kujitenga na DRC na kuanzisha Jamhuri ya Kivu.
Hakuna mtu kaiumiza Tanzania kama Mwl Nyerere,huyu kwa asili ni mtutsi.Hebu msikilize Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere halafu ukae kimya na sio kunibadilishia ID.
View: https://youtu.be/fu83XspMZA4?si=1WwnNA9ZGRnuDs2j
Unaandika togwa gani hili wewe!?We nae wale wale. Nikupe mfano wa karibu: nini kiliondoa SADC Mozambique!? Mradi wa Total wa wafaransa unalindwa na nani huko(kama hujui ni jeshi la Rwanda). Msaada wa milioni karibia 50 za Euro waliopewa Rwanda kuhusu Mozambique, unadhaniulikuwa wa nini? Haya, leo hii Mfaransa ajitenge na mnyarwanda!? Madini ya Congo si ndo yanayengeneza hizo Iphone unazotumia!? Kwa hiyo, Trump yupo tayari kuzuia biashara hiyo!? Ukisikia siasa ni mchezo mchafu, elewa. Kukemea wanakemea wanayoyajua wao. Kwani unadhani Traoré anavyojitenga haelewi kinachoendelea!? Ogopa maraisi wanaojibu kwa nyodo, wanaoishi maisha ya kifahari, wana business zaona hao wanaojiita wanajua kukemea.
Hivi uliwahi kujiuliza, kuliko yule mbwa mmoja wa wale makomando afe, bora wafe raia 100. Uliwahi jiuliza kwa nini!?
Kwahiyo unataka kusema Tanzania tunahitaji raisi mwenye asili ya Kihutu ndio tutapata maendeleo?!Hakuna mtu kaiumiza Tanzania kama Mwl Nyerere,huyu kwa asili ni mtutsi.
Bahima Empire ulikuwa ni uzushi tu wa Mtikila.Je,ila dhana ya Bahima Empire itakuwa imetimia?
Si huwa mnasema hivyo hivyo kuhusu Waisraeli kwahiyo sasa imehamia kwa Watutsi?!Watutsi wameshajithibitishia wenyewe ni blood suckers!
Ni virus!
Ni lazima wadhibitiwe!