John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
TPDF/JWTZ are fighting the losing battle in Goma!Kama hali ndiyo hiyo basi hata sisi wakwetu tuwaondoe ili wakongo wapambane na hali yao.
Otherwise tutaumia pasipo na sababu wakati wenye nchi yao hawako serious na nchi yao
Wewe ni mhaini!Si huwa mnasema hivyo hivyo kuhusu Waisraeli kwahiyo sasa imehamia kwa Watutsi?!
Wewe ni mhaini!
Na mnapotupeleka tutafika tu!
Kwani kila siku tunazidi kuwa na mashaka na watutsi.
Si unaona CDF alishalizungumzia hili?!
Katiba sio msaafu hata yy mwenyewe alikiri kwenye awamu yake kuna vitu alivyo vifanya ni vya maana na vingine sio vya maana na akakiri mapungufu yake na Akaongezea tatizo la Tz,wanakumbatia yale ya kipuuzi na kuacha ya maana.Hakuna mtu kaiumiza Tanzania kama Mwl Nyerere,huyu kwa asili ni mtutsi.
Hii katiba mbovu ya Tanzania ni matunda ya Mwl Nyerere.
Nikimwona mtu anapenda kuchukua reference kutoka kwa Mwl Nyerere namshangaa sana.
Aah wapi!
View: https://youtu.be/hMydW6SZEWM?si=qarlxqtix8CPsnf-Msikilize Mwanaume sio muoga kama Yahaya Simwar
Una hoja usikilizweUnyarwanda sio Ututsi kila Mtutsi sio Mnyarwanda.
Unyarwanda ni Nationality Ututsi ni Tribe.
Muoga ni yule Sultani wa Kiarabu wa Zanzibar aliyepigwa na kufukuzwa Zanzibar.Aah wapi!
Mtu ambaye muoga anaogopa mpaka kivuli chake!
Hamna kitu hapo! Mzee wenu ni muoga ndiyo maana anauwa hovyo raia wake ndani ya nchi na nje ya nchi.
Kwani uongo?
Unapambana sana kumtetea mtutsi mwenzako PK na mambo yake ya hovyo!
Nyinyi watutsi matatizo sana!