Merry Christmas from Mohamed Salah. Je, anapima upepo? Waislam wamshangaa!

Wacoptic walipopata shida ya kulipuliwa jengo lao la kuabudia alitoa msaada kuwasaidia. Huyu ndiye super star wa wote, sio kama wengine huonesha mafanikio yao kwa dini yao tu kana kwamba mashabiki wao ni wa dini yao tu
 

Angekataa na Uraia na arudi Ghana.
 
Ndugu zangu hivi hawa jamaa huwa zipo vizuri kweli vichwani mwao?

Baada ya mchezaji wa timu ya Taifa ya Misri na Liverpool ya wingereza Mohammed Salha kuposti picha katika mtandao wa instagram.

Akisherekea sikuku ya Christmas yeye pamoja na familia yake, ajabu hawa ndugu zetu wamemshambulia kana kwamba amefanya kosa kubwa kwa mujibu wa dini yao.

Ndugu zetu nyie waislamu nyie jamaa mna roho mbaya, hivi nyie ni pepo ya wapi mtaiona? 😳😳😳







 
Mkuu Salah ni kafiri sio muislam yule
 
π–π‘πšπ­ 𝐒𝐬 π‚π‘π«π’π¬π­π¦πšπ¬?

It is the day in which they celebrate the birth of the β€œson” of Allah Ψ³Ψ¨Ψ­Ψ§Ω†Ω‡ وΨͺΨΉΨ§Ω„Ω‰, authu billa!

Saying merry Christmas is a statement of kuffur!

β€’ it goes against the shahada
β€’ it goes against tawheed
β€’ it goes against the Quran
β€’ it goes against all the prophets of Allah Ψ³Ψ¨Ψ­Ψ§Ω†Ω‡ وΨͺΨΉΨ§Ω„Ω‰

πˆπ›π§ 𝐀π₯-𝐐𝐚𝐲𝐲𝐒𝐦 Ψ±Ψ­Ω…Ω‡ Ψ§Ω„Ω„Ω‡ 𝐬𝐚𝐒𝐝:

"Congratulating the kuffaar on the rituals that belong only to them is haraam by consensus, as is congratulating them on their festivals and fasts by saying β€˜A happy festival to you’ or β€˜May you enjoy your festival,’ and so on. If the one who says this has been saved from kufr, it is still forbidden. It is like congratulating someone for prostrating to the cross, or even worse than that.

It is as great a sin as congratulating someone for drinking wine, or murdering someone, or having illicit sexual relations, and so on. Many of those who have no respect for their religion fall into this error; they do not realize the offensiveness of their actions. Whoever congratulates a person for his disobedience or bid’ah or kufr exposes himself to the wrath and anger of Allaah."

[ π€π‘π€πšπ¦ 𝐀𝐑π₯𝐚π₯ πƒπ’π¦π¦πšπ‘ ]

Do not leave Islam to please others!
 
Mkwendree hao wenye dini yao hawana tatizo nyie mliyoletewa mnashupaza mnajifanya kushupaza shingo.
 
Muislamu yoyote anae sherekea hiyo siku jua tu ajitambui na ni jahilliya asie jua misingi ya Dini yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…