Distinction
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 745
- 395
Na chuki siku zote humchoma anaehifadhi, kuna jamaa juzi wanajiita mashehe wa Dar slam wameenda kwa kwa anejiita nabii Mkuu , acha jamaa sasa walivyo washa moto utadhani wakristo wote tumehusika. Hah ha 😂Yani uislam ni chuki chuki chuki chuki chuki tuuuuuu hii dini basi tuuuu.
Wewe unaonekana mbishi hatari, kuna mambo mawili hapa, huenda unaijua sana dini au huijui kabisa.Hao waislam unao taka wakupende na kukuheshimu je ww unawapenda na kuwaheshimu?
Na chuki siku zote humchoma anaehifadhi, kuna jamaa juzi wanajiita mashehe wa Dar slam wameenda kwa kwa anejiita nabii Mkuu , acha jamaa sasa walivyo washa moto utadhani wakristo wote tumehusika. Hah ha 😂Yani uislam ni chuki chuki chuki chuki chuki tuuuuuu hii dini basi tuuuu.
Washerekee wasisherekee ila Hadi simu zao zitabadili tareh siku hio😀😀😀Uislam ndo ulivyo ni haram kusherehekea Christmas na hata mwaka mpya huu wa kesho kutwa.
Hiyo ndo Iman ilivyo hakuna kitakacho weza kubadilisha Imani ya waislam usipokubaliana na hiyo hali utaumia hadi siku unaingia kaburin ila hutawahi kuona wakipenda labda kwa wachache ambao wamekiuka mafundisho.
Ni kama ilivyo kwa wakristo ambao hawasherehekei siku ya Eid
Ndo maana hizo tarehe kutokuwepo makazini haijabadili Imani yao ya kutokuamini sherehe za Christmas kwahiyo watu wakubaliane na hali hakuna kitakacho badili Imani ya waislam hata dunia nzima ibadilishwe taratibu zake ila waislam watabaki na taratibu zaoWasherekee wasisherekee ila Hadi simu zao zitabadili tareh siku hio😀😀😀
Sasa wakaandike huo mwaka wao wa 1700s shuleni aumakazini
Unaandika kama unafukuzwa.Katika jambo ambalo nimepambana nalo kwenye familia yangu na nashukuru Mungu nimefanikiwa ni kusherehekea Christmas na pasaka nashukuru mpaka wanangu wamezoea hawaulizii pilau na wala hawana shobo nalo, nguvu nyingi nazielekeza kwenye sikukuu ya Eid nahakikisha wanafurahi sana
Mo Salah ni mgalatia, hata asemwe vipi ye anacheka anapenda kuona waislam wakitokwa na mapovu mitandaoni karibu miaka minne mfululizo ye anapost tuMo Salah ana influence, kitendo chake cha kusherehekea sikukuu zenye asili ya kipagani anaweza kupoteza wengi. Bora akumbushwe
Kipagani? Apoteze wengi kina nani? mungu anaehimiza chuki kwa dini zingine ni muhuni.Mo Salah ana influence, kitendo chake cha kusherehekea sikukuu zenye asili ya kipagani anaweza kupoteza wengi. Bora akumbushwe
Kweli mkuu mbona mambo ya muziki pia ni ya kipagani sijaona watu wakimponda Nassib Abdul au sababu alijenga msikitiMo Salah ana influence, kitendo chake cha kusherehekea sikukuu zenye asili ya kipagani anaweza kupoteza wengi. Bora akumbushwe
Mkuu kweli sijui ila nafahamu, all to all mosalah ni international public figure na anajitambua hivyo kutokana na mshauri wake kumpa elimu na hata mwenyewe kuwa muislam anayejitambua.Yeah, mtoa uzi labda hajui kuwa kupost hivyo ni hulka ha Mo Salah kila mwaka kipindi kama hiki... Huwa hajali hizo comments za waislamu radicals. Nadhani anataka kufikisha ujumbe kuwa 'hapangiwi'.
Mkuu ndugu yangu. Fujo zipi tena?Acha fujo mkuu. Narudia tena, tafuta amani na watu wote.
kukataa kushangilia ibada potofu siyo chuki ni kujitambuaKipagani? Apoteze wengi kina nani? mungu anaehimiza chuki kwa dini zingine ni muhuni.