kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Maelezo yako yanatofautiana na numbers zao man , hizi stori mnaokotaga kijiweni sio ? Stats zao za world cup mbape kazidiwa sasa sijui mnataka nini wakuuMessi mwenyewe world cup kabebwa na akina mac Allister, Jullian Alvarez na enzo fenandez. Performance ya world cup mbappe alifanya vizuri kuliko huyo andunje.
Huyo messi tuzo moja kampora Iniesta, Nyingine kampora Lewandowski. Balon dor za halali alizonazo hazizidi 3
Kwa hiyo ballon dior inahusika na UEFA?
UMEOMBA TAKWIMU MIMI NAKUPA ZANGU, NAOMBA NA WEWE UNIPINGE KWA TAKWIMU SIO MIHEMKO...
HIZI HAPA SABABU KWANINI MESSI ATAMSHINDA HAALAND...
1. Messi Kashinda Kombe La Dunia
- Messi alishinda kombe la dunia baada ya kulisotea zaidi ya mara nne, hili ndi kombe kubwa zaidi duniani, Lakini Haaland hata hakufuzu...
2. Kiwango Cha Messi Kwenye Kombe La Dunia
Pamoja na mwamba jamaa kua na zaidi ya miaka 35 lakini alipambana kufa na kupona kufunga magoli muhimu yaliyisaidia timu kushinda taji... Pia akawa Mchezaji Bora wa Michuano.
3. Msimu Bora Sana Kwenye Klabu yake ya PSG
Pamoja na kwamba PSG ilitolewa mapema kwenye UEFA lakini Messi aling'ara mbele ya lango. Alifunga Goli 38 kwenye michuano yote na assist 25 na kuisaidia PSG kua Mabingwa wa Ufaransa League 1.
4. Haaland alishindwa kung'aa kwenye mechi kubwa.
Kumbuka kuanzia nusu fainali Haaland alishindwa kufunga hata Goli moja hii ilipekea mchezaji mwenzake Rodri ambaye n kiungo kushinda tuzo ya mchezaji Bora wa UEFA mbele ya Haaland ni aibu.. [emoji28]
5. Manchester city walicheza kitimu zaidi.
Ingawa Haaland aliifungia Goli 58 lakini zilitoka na muundo wa uchezaji sio kupambana yeye kama yeye ndo maana baada ya KDB kuumia mwamba kapoteana.....
Jana kama sio juzi uliulizwa na hao kina enzo alvarez na mac allister fundi walisaidiwa na nani bado hujatoa majibuMessi mwenyewe world cup kabebwa na akina mac Allister, Jullian Alvarez na enzo fenandez. Performance ya world cup mbappe alifanya vizuri kuliko huyo andunje.
Huyo messi tuzo moja kampora Iniesta, Nyingine kampora Lewandowski. Balon dor za halali alizonazo hazizidi 3
Huu ni unafiki tuu na wewe ni mshabiki wa Ronaldo.
Modric alichukua ballon d'or kwasababu alifika fainali ya kombe la dunia na kuchukua mchezaji bora wa kombe la dunia.
Ndio ule msimu Real Madrid walichukua Uefa lakini Madric hakuwa mchezaji bora kweny kikosi cha Real Madrid, kilichomfanya apewe hio tuzo ni performance yake kweny kombe la dunia.
Ukiachana na kushinda na kuwa best player kweny kombe la dunia, Msimu uliopita messi aliongoza kwa;
-Goal contributions(Goals+Assists)
-most assists
-most complete dribbles
-most playmaking (kampita hadi De Bruyne)
View attachment 2793244
Cha kushangaza Messi akishinda anaitwa Mwizi na anapendelewa lakini wengine wakishinda mnaona sawa, kwann?
Yaan hata Messi angekuwa ana magoli nusu ya aliyokuwa nayo bado Messi angekuwa The best player of time, huwez kupima anachofanya uwanjani, alaf unamfananisha na waviziaji kama hawa.
Angalia hii👇👇👇
View attachment 2793250
Sawa Penaldo, tumechukua world Cup and ballon d'or ya nane hio apo.wew ni mshabiki lia lia wa kijana Its Penalty for Argentina. Unatia aibu kabisa
Hakushinda ila alikiwasha mpaka final
Sasa mimi na ww nani anaropoka? Manake nimekuuliza kupitia hoja ulizo unazo zianzisha ww ila hueleweki kama sigara kali, kwa hiyo gazeti hilo halinaga criteria za mshindi wa hiyo tuzo?Dogo kwanini unaropokwa tu? Ballon Dior ni individual award ambayo haihusiana na Fifa wala UEFA, ni gezeti la flani nchini France.
Wewe huna unalojua mzeeToka lini Kombe la dunia likawa lina uzito kwenye Ballondor? Hili ndio swali langu.......
Mechi saba ndio mtu apewe Mchezaji bora wa mwaka? Kuweni serious basi.....
If Ingekuwa hivyo Iniesta Angechukua 2010.
HayaWewe huna unalojua mzee
Zidane, De Lima, Canavaro na wengine wengi walipata Ballon d'or after winning world cup!Toka lini Kombe la dunia likawa lina uzito kwenye Ballondor? Hili ndio swali langu.......
Mechi saba ndio mtu apewe Mchezaji bora wa mwaka? Kuweni serious basi.....
If Ingekuwa hivyo Iniesta Angechukua 2010.
Si ni mchezaji bora wa dunia?! Basi kombe la dunia ndiyo lenyewe sasa! 😄lini Kombe la dunia
Na hyo tuzo itapoteza hadhi yake Kwa kuendekeza upuuzi.Ebu kabla haujaanza kubishana kwa sababu ushabiki wako kwa Messi, nipatie stats au details za kiwango bora(zaidi ya kushinda kombe la dunia ) ambazo zitamfanya Messi awe tena mshindi wa ballon dior.
Ni issue tu ya mapenzi tu kwa huyu jamaa ndio maana tena atabeba lakini kuna watu lukuki wamefanya vyema zaidi yake kwa kipindi hichi.
View attachment 2792549
Ebu kabla haujaanza kubishana kwa sababu ushabiki wako kwa Messi, nipatie stats au details za kiwango bora(zaidi ya kushinda kombe la dunia ) ambazo zitamfanya Messi awe tena mshindi wa ballon dior.
Ni issue tu ya mapenzi tu kwa huyu jamaa ndio maana tena atabeba lakini kuna watu lukuki wamefanya vyema zaidi yake kwa kipindi hichi.