Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Karma*Erling Braut Halland deserve it.
Circumstances zilizomnyima Andres Iniesta 2010 ballon dior Ndio hizo hizo zinatakiwa zimnyime Messi ballon dior mwaka huu...
World Cup✅
Mchezaji bora wa mashindano✅
Mfungaji namba mbili wa WC✅
Bila yeye pengine Argentina ingeishia kwenye makundi
Taji la Ligue 1✅
Magoli 67 kwa msimu✅
Na huwa anapotea mechi kubwa.Bora Messi huyo Halaand mpira wa kuvizia tu afunge hana mpya.
Unafikiri tulitegemea jibu tofauti na hilo wakati avatar yako inajionesha?Mimi kura yangu ningempa Lionel Andres Messi
Wakimnyima Ballon D’or itakuwa ni dhuluma kwa Messi na Mpira kwa Ujumla
Wampe messi tuHizi ni takwimu za Lionel Messi na Haaland kwa msimu uliopita ambapo mmoja wao ataibuka mshindi wa tuzo za Ballon D’or hapo October 30 mwaka huu.
View attachment 2742095
Ungekuwa unapiga kura, kwa takwimu hizo hapo juu ungempa nani kura yako?
Kabisa maana kawapa argentina kombea la dunia huyu ni greatest of all timeHizi ni takwimu za Lionel Messi na Haaland kwa msimu uliopita ambapo mmoja wao ataibuka mshindi wa tuzo za Ballon D’or hapo October 30 mwaka huu.
View attachment 2742095
Ungekuwa unapiga kura, kwa takwimu hizo hapo juu ungempa nani kura yako?