NGO si huwa zinawatetea mashoga?Sasa mbona unajichanganya Mkuu, Kwa sasa ushoga ni kinyume cha sheria, halafu unasema tena Fungua NGO, kwamba NGO inafanya kazi nje ya sheria?? Mimi nimeuliza ulitakiwa ujibu kama hufahamu basi hakuna tatizo.
Leta NGO moja ambayo imetetea mashoga Tanzania, Naona unaongea bila takwimu; Ungejibu tu swali ingekuwa rahisi sanaNGO si huwa zinawatetea mashoga?
okay...orodhesha vitu vyake vyote na madhara yake kwa jamiiOoooooh dear telling my kids it's right kutobolewa nyuma ni fine?? Ilianza kidogo ushoga,, right now in US wanafundishwa kuwa a Man can get pregnant,,, ushoga hauji solo,, unakuja na vtu vngne vng
hapo mimi mkuu nakupinga,,,siamini kama mwanaume kamili straight anaweza kutoa jicho dogo ili apate macho matatu.....mashoga wengi ukiwafuatilia walianza utotoni sio ukubwani baada ya kuijua Dubai na Nguvu ya dollar...hata kama wa hivyo wapo basi kwenye kumi ni mmojaIsiruhusu wafanyiwe promosheni, kuafunga haiwezi kuwa good move.
Ni utandawazi, watu wanaona mambo mengi siku hizi na wanataka kujaribu. Pia tamaa na mseleleko. Vijana wanaona vijana wenzao wako madubai, wanakula maisha wanavaa vizuri, wanaishi apartments walizonunua over 100k USD nao wanataka pasipo kujua kuwa wana masponsor.
Vijana wanapenda maisha mazuri na wako tayari kufanya lolote kuyapata.
Mimi nilijua kushinikiza ulimaaniisha ile kulazimisha watu wasio mashoga wawe mashoga...Kama ni hivyo basi na wahubiri wote wafungiwe maana kuhubiri ni kushinikiza watu waone imani yako ni sahihi..Shinikizo la kutaka everyone aone what wanafanya ni right, regardless of society waliopo,,, a good example ni USA
Sheria zipo ili kulinda mwananchi, so mtu asipo mpisha mzee handicap kwenye daladala ili mzee akae,, it's right, just because haipo kwa Sheria,,,??
Sio kila kitu cha kusimamiwa na serikali
Watu wana tamaa sana, unajua mkuu tamaa ndo uwa inatuponza. Na ndo maana ili mtu akushawishi ufanye kitu flani uwa kwanza anakuonyesha what you will earn from that.hapo mimi mkuu nakupinga,,,siamini kama mwanaume kamili straight anaweza kutoa jicho dogo ili apate macho matatu.....mashoga wengi ukiwafuatilia walianza utotoni sio ukubwani baada ya kuijua Dubai na Nguvu ya dollar...hata kama wa hivyo wapo basi kwenye kumi ni mmoja
Hii ishu inaanzia utotoni
[emoji124][emoji124]Mimi nilijua kushinikiza ulimaaniisha ile kulazimisha watu wasio mashoga wawe mashoga...Kama ni hivyo basi na wahubiri wote wafungiwe maana kuhubiri ni kushinikiza watu waone imani yako ni sahihi..
Sasa ishu sidhani kama ni ushinikizaji bali ni nini kinachoshinikizwa.
Na mada iliyopo inaongelea meya wa serikali na ushoga. kwahiyo kwenye mfano wako wa handicapped kwenye daladala umeitoa serikali isihusike hapo lakini kwenye ushoga unataka serikali ijihusishe,,,,
Again mimi sijasema ushoga ni right au wrong....nilichouliza ni unahusiana nini na serikali?
Teh teh teh! Mapunga mna mambo aiseee!kwahyo huna jibu la swali la kitindiga?? mwamba mbona unaniaibisha
Watu wana tamaa sana, unajua mkuu tamaa ndo uwa inatuponza. Na ndo maana ili mtu akushawishi ufanye kitu flani uwa kwanza anakuonyesha what you will earn from that.
Mfano nataka uue, nakuketea briefcase ya pesa nasema ndo malipo ukikamilisha.
Utakataa ila pichs ya fedha itabaki kichwani mwako ukienda unaanza piga hesabu ile pesa ungeifanyia hiki na kile.
Watu wanapenda mseleleko.
Kama humu kuna thread vjana wanatafta mganga wa kuwapa utajiri wa kuishi miaka kadhaa halafu wafe, watashindwaje kuwepo vijana ambao wako tayari kugawa ndogo
Kwanza watueleze n kosa la jinai? Kwa sheria kanuni na taratibu zipi?kilifanyika wapi ? ushaidi wa pic unao? ulimuona ? wewe kwenye kikao ulikuwa unatafuta nini? usije kuwa unamchafua mtu kwa mambo yenu binafsi
NakubaliiiiiihKiongozi habagu! hachagui ni wa watu wote....
Waambie hao waelewe lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mh. Mayor hajavunja sheria yoyote hapa ,nani sisi katupa haki ya kuhukumu?mtu akiamua kuwa gay, lesbian au straight ni haki yake, vijana wa dot.com tafuteni fedha katika Maisha yenu!...pale Mother City wenye Pesa nyingi ni lesbian &gays wanapitwa na Jewish!nyie endeleeni kupiga domo
Ujinga n kwako wee, sio kwa watu wote. KhaaaaahHili limenikumbusha jamaa flani alikua anaitwa Mawala hapo Moshi karibu na chuo Cha ushirika alikua anatuhimiwa kuwa ni shoga,familia yake ilikua inaishi Marekani ilidaiwa yeye aliludishwa kwa Sababu hiyo, inadaiwa pia ndo alikua anawapa hela vijana ili kutimiza azma yake.Ushoga ni kinyume na maadili ya jamii yetu tusikubali huu ujinga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngumu kumeza hii.Meya yupo sahihi kuunga mkono 'sera ya CCM' ambayo imewahi hadi kutolewa tamko la kidiplomasia kumkana RC mstaafu Makonda.
Baada ya Makonda kuanza operesheni ya kupambana na mashoga, Serikali ilikatiwa 'misaada' na papo hapo ikaambiwa itoe muelekeo. 'Pesa tamu' aisee, Serikali ikamkana Paul, ikasisitiza kulinda HAKI za mashoga na kutobugudhiwa.
CCM kuna muda haijui inasimamia nini
Ndyooooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mashoga sahv wanajiachia
Kuanzia kwenye medias
Mitaani hadi kwenye matamashs yanayoandaliwa ya wasanii
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umma hautaki kukubali, ushoga ni ruksaaaaaah Bongo, weuweeeeeeeehHakuna sababu ya kuhamishia upande mwingine. Serikali ilishakubali tangu siku nyingi ..... Makonda tu alikuja hapo kati kujitafutia umaarufu.
Kama ni kosa kwa nini wamsakame Meya peke yake wakati wahusika nao wapo. Kwa nini wasichukuliwe hatu kama kwenye ushoga ni jinai Bongo.....!!
Yaani kwa vile CCM wako kimya au wanajiumauma kwenye hili basi watu mnaamini kuwa wako against ...... Tayari nchi ilishawekwa kati kwenye hili na wakasalimu amri ya wakubwa. Yah right ..... Na Brussels!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeeeeeh.Huyo meya weni shoga na CCM msijichetue mnaukubaki ushogaView attachment 2126856View attachment 2126857View attachment 2126859View attachment 2126860View attachment 2126861