Meya wa Jiji la Dar kuzindua kinachoitwa 'Chawa wa Mama'

[emoji850]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka huyu kumbilamoto ashindwe kujibu swali la Odemba was star tv..kwamba kwanini wameondoa picha ya meya aliyepita meya mwita kwenye picha za mameya waliowai kuongoza Jiji la Dar
 
Kwa CDM haya mambo wanatakiwa kuyafurahia ni kama vile CCM inawafanyia promo ya bure na kuonyesha uoga wao.

Yaani ata kama kulikiwa na baadhi ya watu moyoni washahitimisha CDM hawana jipya, huu upuuzi wa CCM unawafanya waamke upya kwa hamu kwenda kwenye mikutano ya CDM.

Ila huyo anatafuta chaka tu lakupigia hela. Ndio ubaya wa kuwa na madiwani wa chama kimoja wanaoweza pitisha budget ya kipuuzi ivyo as if hiyo hela isingeweza tatua changamoto kadhaa za wananchi.
 
Kama hilo litatokea kweli, mimi nitakuwa mstari wa mbele kuhamasisha watu kuikataa katakata CCM katika chaguzi zijazo.

Kuanzia hapo nitaichukia na kuilaani CCM milele yote.
 
Umesema ukweli mtupu

Mtaalam wa kodi

Ova
 
Safi sana ni tukio la kwanza kabisa la kihistoria tangu tupate uhuru haijawahi kutokea👏👏👏Mama,doctor, chief anaupiga mwingi sana sana.
 
Hao chawa unakuta wananuka madeni kila mahali kutokana na ugumu wa maisha.

Nauli ya kufikia eneo la tikio wamekopa.

Maji waliyotumia kuoga wamechota kwa jirani.

Ukosefu wa ufahamu ni tatizo kubwa sana kwa sasa ingawa Mbwembwe kibao.
 
Jiji la Dar Lilifutwa na JPM na kubaki Jiji la Ilala.
Mbona kuna Jiji la Dar tena?
 
Mayor in Tanzania:
Payment ni USD 1,500

Powers:
1.Preparing Chawa wa mama Concert.
2.Reading Newspapers in the office.
3.Eating tea and lunch everyday.
4.Preparing roads for presidential convoys.
5.Embezzlement of city collections.
 
Kama hujawahi kuona au kusikia popote duniani basi jua tupo mbele ya Muda-Time traverse
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…