Meya wa Manispaa ya Ubungo, Ndg. Boniface Jacob akamatwa na Polisi kwa mahojiano

Unajuwa kakamatwa kwa sababu gani?
Wewe nawe unafundisha lugha ila huelewi lugha!!!

Amekamatwa tafsiri yake tayari wana tuhuma dhidi yake au pengine unidhibitishie ni tafsiri ya mleta mada kutumia lugha vibaya
 
kwa hiyo unataka kutuambia nini mkuu.meya wa ccm waoga awajui kuhoji
Mameya wa CCM wapo busy na majukumu yao, kama yalivyoelekezwa kwa taratibu zote.
Sio huyu anapiga zumari na anacheza mwenyewe.
 
Wametumwa na bosi wao yule msaidizi wa Janet aliyepewa madaraka makubwa na hana shule
 
Sisi kama polisiccm tunatekeleza ilani ya ccm aka gamba kwa vitendo.
 
Kwenda kibiti kumewashinda wanaishia kukamatwa walemavu na wapinzan....aibu sana hii km ndo weledi wao ulipoishia
 
Wametumwa na bosi wao yule msaidizi wa Janet aliyepewa madaraka makubwa na hana shule

Tunajua Mhe. Jacob hataki ujinga na tayari alishapeleka kesi Mahakamanii ili sheria ichukue mkondo dhidi Bashite kwa kughushi!!!!!Bila ya shaka Bashite ameshaanza figisu ili kumpunguza kasi Mhe. Meya.
 
Tupo bongo bahati mbaya tuuu.....
 
Ulichoandika hapo hata hakieleweki
1. Kwamba polisi ni Majini?
2. Kwamba majini kazi yao ni kutumwa tu hayatumii ubongo!? hapo umeelewa?
3. Kwamba majini siyo watu ni viumbe aina nyingine umeelewa nafikiri
hapo umeelewa loud and clear!
 
1. Kwamba polisi ni Majini?
2. Kwamba majini kazi yao ni kutumwa tu hayatumii ubongo!? hapo umeelewa?
3. Kwamba majini siyo watu ni viumbe aina nyingine umeelewa nafikiri
hapo umeelewa loud and clear!
Mangi jifunze Kiswahili maana inaonekana unaandika kwa kichaga
 
Yani hawa askari wako vizuri sana kwenye kudeal na wapinzani


Majambawazi yanaendelea kuua raia na Polisi wenyewe huko Kibiti mchana kweupe lakini Polisi wenyewe walishapoteza mwelekeo badala ya kuwashughulikia hao Majambazi wanawatafuta Viongozi wa upinzani kuwatesa na kuwanyanyasa.
Si ajabu Mungu analipa kisasi cha Watu wake kuonewa pasi na sababu...
 
Ww kijana wa lumumba shika adabu, kwan kazi yake ni kukaa ofisini
 
CCM bila ya Polisi ni wepesi kama karatasi......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…