Uchaguzi 2020 Mfa maji haachi kutapatapa! CHADEMA maji shingoni

Kitendo cha tume kuengua wagombea wa upinzani inaonyesha ccm hali mbaya
Hwana akili za kujaza form na bado mme waacha kama watoto wa bata badala ya kuwasaidia kujaza form. Mlipeni kibatara awasaidie wakati wa kujaza form hayo yote hayata tokea.
 
Majuzi kati alienda Zanzibar, badala ya kumnadi mgombea wa chama chake akamnadi mgombea wa act wazalendo.
Shida kwelikwelii
Mgombea wa CCM John Pombe Joseph Magufuli amesema kwa kipindi cha miaka 5 ametengeneza ajira milioni 6.

Nyie waimba sifa wake mwambieni labda waliojiriwa walitangaziwa ajira Ikulu, wakafanyiwa interview Ikulu,wakaajiriwa Ikulu. Lakin Huku mtaani kwetu vijana hawana ajira,walimu hawana ajira.Hali ni ngumu Mzee.
 
Wewe kwa level yako huwezi kuelewa wenye chama chao ndiyo wanaelewa wewe ngoja kwenda kwenye fiesta kuangalia watu wakicheza singeli tu.
 
Yaani sikutegemea hawa makamanda uchwara wa ufipa wataishiwa pumzi mapema kiasi hiki, duh.
Tuliwashauri mapema kuwa mumeanza kwa pupa mno, uwezo mnao? mna fedha za kutosha kuzunguka hii nchi miezi mitatu? wakawa kichwa ngumu.

Tukawakanya hamuwezi kuzunguka hii nchi kwa ndege ya kukodi miezi miwili hizo fedha mbona mnatapanya mno hawakusikia, yakowapi sasa.

Tuliwasihi badala ya kutumia mabaunsa ambao hawana hata fimbo mkononi, mnatembea na marungu na mipini kwenye pickup yanini? tukawambia tumieni polisi walifika wapi? walivyoshambuliwa kwa mawe kule Hai wakawaangukia miguuni haohao polisi.

Kimsingi hawa jamaa ni wapuuzi sana
 
Dah uvccm humu hoja hakuna..yaani ni empty kichwani hawana critical reasoning mihemko na mahaba niue ya chama yamewajaa kichwani... Mpaka Muite maji mmma.
Wako kama yule jamaa wa kiki za miujiz
Wewe kwa level yako huwezi kuelewa wenye chama chao ndiyo wanaelewa wewe ngoja kwenda kwenye fiesta kuangalia watu wakicheza singeli tu.
Fiesta hata nyie mnaitamani saana tuuuu, unakumbuka kipindi kile wema sepetu atishie kujiunga na kundi lenu, mlivyokesha kumpokea na kabla hajapata kiparata cha kundi lenu mlimwita kamanda wema, baada ya kuona SMS za fly to KIA zimekuwa nyingi akawatosa. Wasanii hata nyie mnaao wengi saana sema tuu wakwenu nimapopoma.
 
CHADEMA wanaleta masiala na maisha ya watanzania subiri box la kupia kura 28 octobar wataelewa mambo yalivyo maana Watanzania watawaonesha.
 
Uchaguzi wa mwaka huu ulionyesha mapema kabisa kuwa CCM itashinda kwa urahisi sana. Hii ni kwa sababu kazi nzuri iliyofanyika ndani ya miaka minne ilikuwa ni kete tosha kwa CCM kutusua bila matatizo....
Kwa kuwa chadema wanatapatapa ili tuwashinde vizuri bila ulalamishi nashauri ccm tusiiibe Kura,

pia tusiinglie maamamuzi ya tume, tuwaambie tume wawarudishe wagombea wote walioenguliwa,

alafu Tuache kumwogopa Lissu, tufungulue vyombo vya habari vitangaze na kuonyesha mikutano ya Lissu

Mwisho tumtangaze Lissu mshindi baada ya uchaguzi
 
Uchaguzi wa mwaka huu ulionyesha mapema kabisa kuwa CCM itashinda kwa urahisi sana. Hii ni kwa sababu kazi nzuri iliyofanyika ndani ya miaka minne ilikuwa ni kete tosha kwa CCM kutusua bila matatizo...
Hapana, Sheria ya Gharama za Uchaguzi inakataza ya Nyehunge na ya Musoma yaliyofanywa na Magufuli. Isome
 
Kweli kabisa, ila ukwasi wa CCM sio wa kujivunia, kwa kuwa nyingi ni mali ya umma waliyonyakua wakati wa mwanzo wa vyama vingi, na sasa wanafanya mikataba ya malipo na watuhumiwa nyuma ya pazia kupitia ofisi za mashitaka za serikali. Wapinzani walikosea. Walitakiwa kudai mgawanyo wa assets kwanza sambamba na kujaribu kwenda Ikulu
 
Halafu eti makamu wa rais wa JMT atakuwa Salum Mwalimu! Hawako serious Hawa wanachangamsha genge tu Hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…