Uchaguzi 2020 Mfa maji haachi kutapatapa! CHADEMA maji shingoni

Wewe buku7 toka Lumumba Idugunde unaingiza posho sio mchezo.Manake si kwa kutuma nyuzi dhidi ya Chadema na Lissu.Huu ni wakati wako wa kuvuna buku7!🀣🀣🀣
 
Majibu ni October, Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ya kijani tupu.
 
Pamoja na yote uliyoyasema bado kufanya tathmini kwenye jambo lolote ni muhimu sana.
Sasa yeye kafanya tathmini ya Siku Kumi za kampeni na hayo ndo kayaexperience ni lazima bayana ili kama chama na wadau wengine wajue mini cha kufanya

Mfano suala la kuchangia kampeni ni muhimu sana
 
Tundu Lissu anazidi kupotea siku baada ya siku. Uchaguzi unahitaji akili kubwa. Akiendekeza propaganda havitamsaidia.
 
Tundu Lissu anazidi kupotea siku baada ya siku. Uchaguzi unahitaji akili kubwa. Akiendekeza propaganda havitamsaidia.
Matunda ya Miaka 43 ya Utawala wa CCM Maradhi, Ujinga na Umaskini wa kutupwa. Walau wakati wa TANU hawajamaa walikuwa wanakondeana... tangu CCM ifanye Azimio la Zanzibar 1992, kasi ya unono na ukibonge inaongezea maradufu!
 
Wewe buku7 toka Lumumba Idugunde unaingiza posho sio mchezo.Manake si kwa kutuma nyuzi dhidi ya Chadema na Lissu.Huu ni wakati wako wa kuvuna buku7!🀣🀣🀣
Acha uwongo wewe.
 
Nilijua tu kuwa lissu atachoka mapema
huwezi kuchukua ikulu kwa kutembeza bakuli,mpaka ikifika tarehe 30,lissu atakua analala tu nyumbani kwake,anatumia twitter tukufanya kampeni,kishaanza kusingizia nguu haukunjuki
 
Safari hii hatuna mgombea bubu akipanda jukwaani elimu, elimu, elimu harafu anakaa kampeni zimekwisha

Safari chuma kimepata moto kwelikweli hakuna rangi mtaacha kuona

Mapumziko ya siku mbili tatu hizi mnafikiri eti amechoka, mwamba mnaye huyo mpaka Oct.28 dadeki
 
Mhe. Tundu Lissu, ukitaka uishinde CCM kwanza anza kuwa Rais ndani ya chama chako, Pili ukiwa Rais wa chama chako ondoa makando kando yaliyopo ili kipate mvuto katika jamii.. Ukifaulu hayo gombea sasa.. unaweza kufanikiwa kupata ushindi wa angalau asilimia 35. Kinyume na hapo utaendelea tu kutuletea masinema ambayo hayatakupa hata ushindi wa asilimia 20.
 
CHADEMA haina mikakati ya kampeni, kila siku wanalalamika. Watashindwa vibaya.
 
Amwage sera sasa sio kuwa analialia hovyo. Mara helikopta inataka kufunguliwa vipuli. Mara hana nauli yote haya ya nini?
Kwa watu wote wenye uelewa wamemwelewa Lissu vzr sana shida ipo kwa wafia vyama ambao wengi ni wanufaika wa mfumo uliopo ...hata uwambieje watabisha ila mradi njaa ni mbaya sana!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Kwa watu wote wenye uelewa wamemwelewa Lissu vzr sana shida ipo kwa wafia vyama ambao wengi ni wanufaika wa mfumo uliopo ...hata uwambieje watabisha ila mradi njaa ni mbaya sana!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Sasa si ufafanue ili tuelewe vizuri. Mfano mmoja tu rais wa JMT ametoa maagizo barabara ya Sengerema Nyehunge itengenezwe.Hapo kosa lipo wapi?
Ccm ni chama ambacho kina assets nyingi. Mapato yake yanayosha kujiendesha kwa kila namna. Weka uthibitisho wamechota pesa hazina.
 
Naona UVCCM mmeanza rasmi kuingia kazini kwa shinikizo la Katibu wenu mkuu kujibu hoja makini za Wapinzani wenu. Mwisho wa siku ukweli haujifichi! nyinyi ccm siku zote mnashinda uchaguzi kwa hila na ghiriba tu.

Sijui ni kwa nini huwa hamuoni aibu.
Acha mambo ya kitoto,sio kila hoja ya msingi unapaswa uipinge. Tumia akili wewe jibaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…