Uchaguzi 2020 Mfa maji haachi kutapatapa! CHADEMA maji shingoni

Wewe buku7 toka Lumumba Idugunde unaingiza posho sio mchezo.Manake si kwa kutuma nyuzi dhidi ya Chadema na Lissu.Huu ni wakati wako wa kuvuna buku7!🤣🤣🤣
 
Uchaguzi wa mwaka huu ulionyesha mapema kabisa kuwa CCM itashinda kwa urahisi sana. Hii ni kwa sababu kazi nzuri iliyofanyika ndani ya miaka minne ilikuwa ni kete tosha kwa CCM kutusua bila matatizo

Zimebaki siku 49 watanzania waende kupiga kura ili kuchagua wabunge, madiwani na rais wa JMT kakini mpaka siku ya leo inafika tayari Chadema wameshaonyesha kushindwa. Na hii ni kwa sababu wamenza kulialia kama watoto wadogo.

Kitendo cha Mgombea Urais wa CHADEMA kuanza kutoa sababu ambazo hazina msingi, hizi ni Dalili kuwa sasa jahazi linazama. Mfano kulialia kwa waandishi wa habari kuwa sasa hana pesa na inalazimu kutembeza bakuli hii ni dalili kuwa hali ni mbaya. Lakini kwa nini hakufanya tahimini kuwa Chama chake hakina fedha hivyo akakaa kando na kuacha kuingia kwenye mtanange ambao ni gharama kubwa kuuendesha? Lissu hakufanya tathimini kuwa kuna michango ya wabunge iliyokuwa itumike kwenye uchaguzi ilikwapuliwa na wamiliki wa Chadema? Maana hii ni aibu kutembeza bakuli wakati wananchi tuna hali ngumu.

Kusema kuwa CCM wanachota pesa za serikali pia ni dalili kuwa huyu jamaa amekosa hoja za msingi. Hivi hajui kuwa Ccm wana asset ambazo zinawaingizia pesa lukuki ambazo wakizikusanya kwa miaka mitano zinaweza kuendesha kampeni kwa ufanisi mkubwa? Kutoa sababu eti Hayati Benjamin Mkapa alisema kuna watu walimdanganya na kukwapua pesa za Epa sio justification kuwa Ccm inachota pesa serikalini. Maana CCM ya mwaka 2005 sio hii ya leo.

Kuleta hoja eti CCM imepitisha mgombea ubunge wa Njombe ambae alikuwa na mashitaka ya ufisadi. Kwa hiyo Ccm haipambani na ufisadi huku nako ni kukosa hoja zenye mashiko na zisizo na msaada kwa CHADEMA . Mimi nafikili kama chama makini wangetuambia namna gani watamshinda huyu mgombea ubunge aliyekuwa na makosa ya ufisadi ili wachukue jimbo la Njombe kuliko kuanza kulalama juu ya kuteuliwa kwake kugombea.

Pia ifahamike huyu mgombea baada ya kubainika amefanya makosa ya kusaidia Acaccia wasilipe kodi alikamatwa nakufunguliwa mashitaka na kisha kuhukumiwa kwa mujibu wa sheria. Na hukumu yake haijamuondolea sifa ya kuwa mgombea ubunge. Kwa hiyo ni wazi kuwa serikali ya CCM ilichukua hatua stahiki, kusema kwamba haipambani na ufisadi ni uongo na kukosa hoja.

Kujibu hoja ya kuwa anatumiwa na mabeberu kizembe hivyo pia imeonyesha ni wazi kuwa anapata misaada toka kwa mabeberu. Maana huwezi kusema kuwa kisa Usaid au JICA wakitoa misaada tayari tumepata msaada toka kwa mabeberu. Maana dhana nzima ya ubeberu huwa inakamilika pale misada ya taifa lenye uwezo linapotoa msaada ambao una lengo la kuinyonya nchi yetu kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni. Hili hajajibu vuzuri maana anakiri kuwa impliedly kuwa anapata misaada. Je hiyo misaada anaipata kwa mashariti gani huyu ndugu Lissu? Ili aje alinde faragha za watu wanaovunja sheria za nchi!

Kusingizia media za Tanzania hazifanyi coverage ya mikutano yake ni aibu na hii ndio imeonyesha sasa ameishiwa nguvu. Amesahau kilichotokea pale Zakheim? Lakini pamoja na hayo mimi naona vyombo vya habari karibu vyote vinaripoti mikutano yake.

Kusema rais anatumia madaraka yake kujipatia kura. Hili nalo linachanganya. Kwani Tundu Lissu hajui kuwa ukomo wa rais wa JMT ni mpaka aapishwe mwingine? Maana pale Nyehunge rais Magufuli alikuwa anatumia kofia yake ya urais kutekeleza majukumu yake,na kwa katiba ya JMT lipo wazi. Ila dalili zinaonyesha sasa maji yamefika shingoni na baada ya siku kumi itakuwa aibu kwa Chadema.
Majibu ni October, Tanzania 🇹🇿 ya kijani tupu.
 
Pamoja na yote uliyoyasema bado kufanya tathmini kwenye jambo lolote ni muhimu sana.
Sasa yeye kafanya tathmini ya Siku Kumi za kampeni na hayo ndo kayaexperience ni lazima bayana ili kama chama na wadau wengine wajue mini cha kufanya

Mfano suala la kuchangia kampeni ni muhimu sana
 
Tundu Lissu anazidi kupotea siku baada ya siku. Uchaguzi unahitaji akili kubwa. Akiendekeza propaganda havitamsaidia.
 
Matunda ya Miaka 43 ya Utawala wa CCM Maradhi, Ujinga na Umaskini wa kutupwa. Walau wakati wa TANU hawajamaa walikuwa wanakondeana... tangu CCM ifanye Azimio la Zanzibar 1992, kasi ya unono na ukibonge inaongezea maradufu!
 
Wewe buku7 toka Lumumba Idugunde unaingiza posho sio mchezo.Manake si kwa kutuma nyuzi dhidi ya Chadema na Lissu.Huu ni wakati wako wa kuvuna buku7!🤣🤣🤣
Acha uwongo wewe.
 
Nilijua tu kuwa lissu atachoka mapema
huwezi kuchukua ikulu kwa kutembeza bakuli,mpaka ikifika tarehe 30,lissu atakua analala tu nyumbani kwake,anatumia twitter tukufanya kampeni,kishaanza kusingizia nguu haukunjuki
 
Safari hii hatuna mgombea bubu akipanda jukwaani elimu, elimu, elimu harafu anakaa kampeni zimekwisha

Safari chuma kimepata moto kwelikweli hakuna rangi mtaacha kuona

Mapumziko ya siku mbili tatu hizi mnafikiri eti amechoka, mwamba mnaye huyo mpaka Oct.28 dadeki
 
Mhe. Tundu Lissu, ukitaka uishinde CCM kwanza anza kuwa Rais ndani ya chama chako, Pili ukiwa Rais wa chama chako ondoa makando kando yaliyopo ili kipate mvuto katika jamii.. Ukifaulu hayo gombea sasa.. unaweza kufanikiwa kupata ushindi wa angalau asilimia 35. Kinyume na hapo utaendelea tu kutuletea masinema ambayo hayatakupa hata ushindi wa asilimia 20.
 
Uchaguzi wa mwaka huu ulionyesha mapema kabisa kuwa CCM itashinda kwa urahisi sana. Hii ni kwa sababu kazi nzuri iliyofanyika ndani ya miaka minne ilikuwa ni kete tosha kwa CCM kutusua bila matatizo

Zimebaki siku 49 watanzania waende kupiga kura ili kuchagua wabunge, madiwani na rais wa JMT kakini mpaka siku ya leo inafika tayari Chadema wameshaonyesha kushindwa. Na hii ni kwa sababu wamenza kulialia kama watoto wadogo.

Kitendo cha Mgombea Urais wa CHADEMA kuanza kutoa sababu ambazo hazina msingi, hizi ni Dalili kuwa sasa jahazi linazama. Mfano kulialia kwa waandishi wa habari kuwa sasa hana pesa na inalazimu kutembeza bakuli hii ni dalili kuwa hali ni mbaya. Lakini kwa nini hakufanya tahimini kuwa Chama chake hakina fedha hivyo akakaa kando na kuacha kuingia kwenye mtanange ambao ni gharama kubwa kuuendesha? Lissu hakufanya tathimini kuwa kuna michango ya wabunge iliyokuwa itumike kwenye uchaguzi ilikwapuliwa na wamiliki wa Chadema? Maana hii ni aibu kutembeza bakuli wakati wananchi tuna hali ngumu.

Kusema kuwa CCM wanachota pesa za serikali pia ni dalili kuwa huyu jamaa amekosa hoja za msingi. Hivi hajui kuwa Ccm wana asset ambazo zinawaingizia pesa lukuki ambazo wakizikusanya kwa miaka mitano zinaweza kuendesha kampeni kwa ufanisi mkubwa? Kutoa sababu eti Hayati Benjamin Mkapa alisema kuna watu walimdanganya na kukwapua pesa za Epa sio justification kuwa Ccm inachota pesa serikalini. Maana CCM ya mwaka 2005 sio hii ya leo.

Kuleta hoja eti CCM imepitisha mgombea ubunge wa Njombe ambae alikuwa na mashitaka ya ufisadi. Kwa hiyo Ccm haipambani na ufisadi huku nako ni kukosa hoja zenye mashiko na zisizo na msaada kwa CHADEMA . Mimi nafikili kama chama makini wangetuambia namna gani watamshinda huyu mgombea ubunge aliyekuwa na makosa ya ufisadi ili wachukue jimbo la Njombe kuliko kuanza kulalama juu ya kuteuliwa kwake kugombea.

Pia ifahamike huyu mgombea baada ya kubainika amefanya makosa ya kusaidia Acaccia wasilipe kodi alikamatwa nakufunguliwa mashitaka na kisha kuhukumiwa kwa mujibu wa sheria. Na hukumu yake haijamuondolea sifa ya kuwa mgombea ubunge. Kwa hiyo ni wazi kuwa serikali ya CCM ilichukua hatua stahiki, kusema kwamba haipambani na ufisadi ni uongo na kukosa hoja.

Kujibu hoja ya kuwa anatumiwa na mabeberu kizembe hivyo pia imeonyesha ni wazi kuwa anapata misaada toka kwa mabeberu. Maana huwezi kusema kuwa kisa Usaid au JICA wakitoa misaada tayari tumepata msaada toka kwa mabeberu. Maana dhana nzima ya ubeberu huwa inakamilika pale misada ya taifa lenye uwezo linapotoa msaada ambao una lengo la kuinyonya nchi yetu kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni. Hili hajajibu vuzuri maana anakiri kuwa impliedly kuwa anapata misaada. Je hiyo misaada anaipata kwa mashariti gani huyu ndugu Lissu? Ili aje alinde faragha za watu wanaovunja sheria za nchi!

Kusingizia media za Tanzania hazifanyi coverage ya mikutano yake ni aibu na hii ndio imeonyesha sasa ameishiwa nguvu. Amesahau kilichotokea pale Zakheim? Lakini pamoja na hayo mimi naona vyombo vya habari karibu vyote vinaripoti mikutano yake.

Kusema rais anatumia madaraka yake kujipatia kura. Hili nalo linachanganya. Kwani Tundu Lissu hajui kuwa ukomo wa rais wa JMT ni mpaka aapishwe mwingine? Maana pale Nyehunge rais Magufuli alikuwa anatumia kofia yake ya urais kutekeleza majukumu yake,na kwa katiba ya JMT lipo wazi. Ila dalili zinaonyesha sasa maji yamefika shingoni na baada ya siku kumi itakuwa aibu kwa Chadema.
CHADEMA haina mikakati ya kampeni, kila siku wanalalamika. Watashindwa vibaya.
 
Amwage sera sasa sio kuwa analialia hovyo. Mara helikopta inataka kufunguliwa vipuli. Mara hana nauli yote haya ya nini?
Kwa watu wote wenye uelewa wamemwelewa Lissu vzr sana shida ipo kwa wafia vyama ambao wengi ni wanufaika wa mfumo uliopo ...hata uwambieje watabisha ila mradi njaa ni mbaya sana!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Sasa si ufafanue ili tuelewe vizuri. Mfano mmoja tu rais wa JMT ametoa maagizo barabara ya Sengerema Nyehunge itengenezwe.Hapo kosa lipo wapi?
Ccm ni chama ambacho kina assets nyingi. Mapato yake yanayosha kujiendesha kwa kila namna. Weka uthibitisho wamechota pesa hazina.
 
Naona UVCCM mmeanza rasmi kuingia kazini kwa shinikizo la Katibu wenu mkuu kujibu hoja makini za Wapinzani wenu. Mwisho wa siku ukweli haujifichi! nyinyi ccm siku zote mnashinda uchaguzi kwa hila na ghiriba tu.

Sijui ni kwa nini huwa hamuoni aibu.
Acha mambo ya kitoto,sio kila hoja ya msingi unapaswa uipinge. Tumia akili wewe jibaba.
 
Back
Top Bottom