Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

Naona wamechoka amani Sasa wanataka walete chokochoko na baaadae migogoro ya kidini
 
Nashindwa kuelewa alialikwa na nani kuja hapa nchini? Huyu Jamaa hana akili kabisa ni sawa na Waislam walio wengi, anaongeleaga vitu asivyo na uhakika navyo, yaani ni mtu wa mihemko tu.

Nafikiri mpaka 2025 mambo yatakuwa buli buli
 
Atakuwa amealikwa na Shehe Kishki aliyesema kuwa Allah atamuua Afande Sele lakini mpaka leo Afande Sele tuko nae.
 
kwani shida ipo wapi mkuu
Ana ban ya nchi kadhaa akituhumiwa ugaidi na uchochezi wa kidini. Hata muadhara wake umekaa kichochezi Moh'd Vs Jesus
Kama huoni shida basi hata wewe ni shida
 
Mkuu usitangulize chuki na uongo huyu jamaa anapendwa sanaa na nchi nyingi kwa njia yake ya mahubili ya dialogue na debate, wiki ilio pita alikua Uganada na Kenya India hamtafuti ila tu hawataki mahubiri yake kwasababu anubisha sanaa dini yao ya Hindu kwa debates zake za dini
Wakuristo wengi hampendi kqasababu hawana hoja za debate yule ni mziki mnene kwa mbumbu wa kikuristo wa Tanzania wanao fuata dini yao bila facts na logic
kiboko yake cecily simbaulanga hoja zake zipanguliwe mpaka asitamani kuta tena tanzania
 
Inasikitisha sana kwamba tunaelekea kugombana na kuuana kisa dini za kuja za waarabu na wazungu..
Poor us!
 
Kiongozi ukisikia ushujaa ni kujitoa,
Jitoe wewe ukamkamate na umuwasilishe sehem husika na utoe maelezo juu yakutafutwa kwake.

Jipange kiongoz uwe shujaa itakuwa ni jambo la kherii.
acha kutetea gaidi, kuna protoko za kumkamata, we unadhani unakurupuka tu kwenda kumkamata?
 
Kina Bush, Obama na watu kibao wanakuja na damu ya mamilioni ya watu ila kimyaa, mtu ambaye hata kisu kukishika pengine hajui kukishika vizuri, aliye dedicate maisha yake yote kwenye Elimu unamuogopa na kumuona Gaidi.
Baba mwajuma kumbe Obama na bushi walishika visu? Embu ni dadavulie ilikuwa wapi na wapi.
 
Kina Bush, Obama na watu kibao wanakuja na damu ya mamilioni ya watu ila kimyaa, mtu ambaye hata kisu kukishika pengine hajui kukishika vizuri, aliye dedicate maisha yake yote kwenye Elimu unamuogopa na kumuona Gaidi.
Same stories
 
Ana ban ya nchi kadhaa akituhumiwa ugaidi na uchochezi wa kidini. Hata muadhara wake umekaa kichochezi Moh'd Vs Jesus
Kama huoni shida basi hata wewe ni shida
mkuu mimi siwezi kua shida kwa sababu hakuna sehemu walioandaa hiyo lecture wameweka neno " VS " bali waliweka neno " & " kama wewe ni mfuatiliaji wa imani hizi mbili kubwa utaelewa kwanini hawawezi leta mjadala wenye "VS" kati ya hao watu wawili. na ambatanisha na posters mbili

ya kwanza nadhani ilikua ni hii
1735581074418.png



nadhani unaona hakuna " VS ". sasa labda tuulizane kama wewe ni mtu logical kwanini hii ni siu ya tatu nyuzi zinafunguliwa watu wakitumia neno " VS " lengo ni nini.

twende mbele mada walizoweka mezani ni hizi


tukiangalia hizi mada shida ipo sehemu gani?

1735581419555.png
 
Magalatia yanasema kuwa wao hawependi mambo ya kulalamika Cha ajabu wiki nzima wanapayuka tu kuzungumzia kitu kimoja.

Poor Galatians..

Leteni huyo mtu halafu muone yatakayojiri...Dunia hii ina namna inaendeshwa. Nje ya mambo yenu yasioeleweka. Kule Afghanistan wafuga ndevu wamegundua majiko mapya yasiyo na madirisha 😂 😂 😂 😂 😂
Sisi huku, ukweli ni kuwa, we don't have the capacity. Waarabu wenyewe wanaita maji mma huko umangani
 
KILA MPENDA HAKI NA AMANI APINGE HUU UGAIDI ,

Dk. Zakir Naik anasema

"Kama bin Laden anapigana na maadui wa Uislamu, mimi namuunga mkono. Ikiwa anaitisha Marekani—gaidi mkubwa zaidi kuliko wote—mimi niko pamoja naye. Kila Muislamu anapaswa kuwa gaidi."
 
Ni GAIDI Kila mpenda amani ampinge kwa nguvu zote

Hatutaki nchi yetu kuingizwa na vimelea na viashiria vya UGAIDI
Ndo amesha kuja sasa na kesho ana anza muhadhara wake huko Zanzibar.
Kama hutaki jitie gunzi matakoni alafu ulilambe ili tujue kweli umekasirika.
 
Back
Top Bottom