Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Wewe ulikuepo akiwa anafundishwaKwahiyo wewe unapinga kuwa Osama ugaidi hajafundishwa na Marekani?
Hauna ulijualo katika hii Dunia kakojeo ukalale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulikuepo akiwa anafundishwaKwahiyo wewe unapinga kuwa Osama ugaidi hajafundishwa na Marekani?
Hauna ulijualo katika hii Dunia kakojeo ukalale
Nashindwa kuelewa alialikwa na nani kuja hapa nchini? Huyu Jamaa hana akili kabisa ni sawa na Waislam walio wengi, anaongeleaga vitu asivyo na uhakika navyo, yaani ni mtu wa mihemko tu.
Kila la heri kwakoNitamkamata huyu gaidi
Huyu gaidi akamatweNaona wamechoka amani Sasa wanataka walete chokochoko na baaadae migogoro ya kidini
Ana ban ya nchi kadhaa akituhumiwa ugaidi na uchochezi wa kidini. Hata muadhara wake umekaa kichochezi Moh'd Vs Jesuskwani shida ipo wapi mkuu
kiboko yake cecily simbaulanga hoja zake zipanguliwe mpaka asitamani kuta tena tanzaniaMkuu usitangulize chuki na uongo huyu jamaa anapendwa sanaa na nchi nyingi kwa njia yake ya mahubili ya dialogue na debate, wiki ilio pita alikua Uganada na Kenya India hamtafuti ila tu hawataki mahubiri yake kwasababu anubisha sanaa dini yao ya Hindu kwa debates zake za dini
Wakuristo wengi hampendi kqasababu hawana hoja za debate yule ni mziki mnene kwa mbumbu wa kikuristo wa Tanzania wanao fuata dini yao bila facts na logic
Wengine wanasema sio muislamSio kubishana, ni kujadiliana nao
Kusema sio tatizo,kila mtu atasema vyake
acha kutetea gaidi, kuna protoko za kumkamata, we unadhani unakurupuka tu kwenda kumkamata?Kiongozi ukisikia ushujaa ni kujitoa,
Jitoe wewe ukamkamate na umuwasilishe sehem husika na utoe maelezo juu yakutafutwa kwake.
Jipange kiongoz uwe shujaa itakuwa ni jambo la kherii.
Baba mwajuma kumbe Obama na bushi walishika visu? Embu ni dadavulie ilikuwa wapi na wapi.Kina Bush, Obama na watu kibao wanakuja na damu ya mamilioni ya watu ila kimyaa, mtu ambaye hata kisu kukishika pengine hajui kukishika vizuri, aliye dedicate maisha yake yote kwenye Elimu unamuogopa na kumuona Gaidi.
Same storiesKina Bush, Obama na watu kibao wanakuja na damu ya mamilioni ya watu ila kimyaa, mtu ambaye hata kisu kukishika pengine hajui kukishika vizuri, aliye dedicate maisha yake yote kwenye Elimu unamuogopa na kumuona Gaidi.
mkuu mimi siwezi kua shida kwa sababu hakuna sehemu walioandaa hiyo lecture wameweka neno " VS " bali waliweka neno " & " kama wewe ni mfuatiliaji wa imani hizi mbili kubwa utaelewa kwanini hawawezi leta mjadala wenye "VS" kati ya hao watu wawili. na ambatanisha na posters mbiliAna ban ya nchi kadhaa akituhumiwa ugaidi na uchochezi wa kidini. Hata muadhara wake umekaa kichochezi Moh'd Vs Jesus
Kama huoni shida basi hata wewe ni shida
Magalatia yanasema kuwa wao hawependi mambo ya kulalamika Cha ajabu wiki nzima wanapayuka tu kuzungumzia kitu kimoja.
Poor Galatians..
Ndo amesha kuja sasa na kesho ana anza muhadhara wake huko Zanzibar.Ni GAIDI Kila mpenda amani ampinge kwa nguvu zote
Hatutaki nchi yetu kuingizwa na vimelea na viashiria vya UGAIDI