Mfahamu mlinzi wa Tundu Lissu, Renatus Hangaya. Asema alimfahamu 2006 kumfundisha 'Martial Arts'

Mfahamu mlinzi wa Tundu Lissu, Renatus Hangaya. Asema alimfahamu 2006 kumfundisha 'Martial Arts'

Mimi nimefanya na naendelea kufanya marshal arts jiu jitsu ya Kibrazili, hakuna mtu anayefanya marshal arts akawa kibonge na mentally unstable namna hiyo kama tundu lisu, ondoeni porojo zenu hapa, ...
Unamaanisha nini? Kwamba ukiwa mnene huwezi fanya martial arts au ukifanya martial arts huwezi kunenepa?

Kuna 'mwanangu' alikuwa akinifundisha hizo mambo miaka ya 2000 mwanzoni, kwa sasa ni komando wa jeshi. Huyu jamaa ni bonge kabla hajawa soldier na sasa bado ni bonge.

Nilikutana naye kipindi flani hapa nyuma, nikamtania kwa mwili huu we ni 'komando hewa', kuna tukio alilifanya pale mbele ya watu kila mtu akabaki mdomo wazi. Jamaa ni bonge ila ni mwepesi kuliko 'vimbaumbau'.
 
Labda unachanganya, bonge'' yaani kuwa na mwili mkubwa ambapo ni genetics watu wanazaliwa hivyo vs unene mwili kujaa mafuta, Tundu lisu amejaa mafuta kuna tofauti hapo, huyo Komandoo wako simjui lkn kama ni kweli ni mtu wa marshal arts na ni komandoo wa Jeshi basi inawezakana ana mwili mkubwa tu ambao amezaliwa nao lkn hawezi kuwa amejaa mafuta kama Tundu Lissu.
 
Martial arts ni nini jmn
Ni sanaa za mapambano, mapigano na kujilinda kwa kutumia mikono, mateke na viungo vingine.
Na baadae kutumia silaha za jadi, kama fimbo, mikuki, visu, mapanga n.k
Sanaa hizi zinahusisha kungu fu, karate, judo, taekwondo, Tai chi chuani, krav maga, systema n.k.
 
Labda unachanganya ,,bonge'' yaani kuwa na mwili mkubwa ambapo ni genetics watu wanazaliwa hivyo na unene mwili kujaa mafuta, Tundu lisu amejaa mafuta kuna tofauti hapo, huyo Komandoo wako simjui lkn kama ni kweli ni mtu wa marshal arts na ni komandoo wa Jeshi basi inawezakana ana mwili mkubwa tu ambao amezaliwa nao lkn hawezi kuwa amejaa mafuta kama Tundu Lisu, ...
Huyu mshikaji ni bonge kiasi cha kwamba ana nyama za 'kutetema'.

Of course Lissu kwa sasa ni 'bonge' na bado yupo kwenye rehabilitation kwa yaliyompata obvious kunakuwa na mkanganyiko kwenye namna ya kubalance diet, madawa na mazoezi. Na kwa sasa kwa namna yoyote ile Lissu hawezi fanya martial arts.
 
Huyu mshkaji ni bonge kiasi cha kwamba ana nyama za 'kutetema'.

Of course Lissu kwa sasa ni 'bonge' na bado yupo kwenye rehabilitation, kwa yaliyompata obvious kunakuwa na mkanganyiko kwenye namna ya kubalance diet, madawa na mazoezi. Na kwa sasa kwa namna yoyote ile Lissu hawezi fanya martial arts.

Martial arts siyo mazoezi ya viungo tu bali ni way of life, ...
 
In its deepest roots, martial arts originates from physical exercises prior to be regarded as a 'life philosophy'.

Unawezaje kuwa na way of life ambayo mwili wako hauwezi kuiishi?
Marshal arts siyo mazoezi ya viungo tu bali ni way of life, ...
 
In its deepest roots, martial arts originates from physical exercises prior to be regarded as a 'life philosophy'.

Unawezaje kuwa na way of life ambayo mwili wako hauwezi kuiishi?

Nimeandika sio tu mazoezi ya viungo bali ni way of life na iko hivyo kwa miaka mingi sana kote Japani au hata China, way of life namaanisha kuanzia chakula unachokula, huwezi kufanya martial arts halafu unakula kula hovyo cchochote kinachokuja mbele ya meza, martial arts inakupa mental fitness, inakusaidia kuishi vizuri hapa Duniani kwa kuelewa changamoto zilizopo na jinsi ya kuzikabli, ina kutayarisha na yanayokuja mbeleni, mfano mtu anayefanya marshal arts hawezi kuwa mgomvi hata siku moja, hawezi kumpiga Mke wake hata siku moja hata kama Mwanamke akilianzisha, ni mfano tu, ...
 
Maelezo yako ni sahihi kabisa, ndio maana nikajibu pale juu Lissu kwa sasa kwa namna yoyote ile hawezi kuiishi martial arts.

Nikagusia kwa hali yake bado yuko kwenye matibabu hivyo hawezi kujiamulia ale nini ama afanye mazoezi yapi, ulaji wake na 'life style' kwa ujumla kwa sasa kwa kiasi kikubwa ni ule unaochangiwa/kuathiriwa na mchakato wa matibabu yake.
Nimeandika sio tu mazoezi ya viungo bali ni way of life na iko hivyo kwa miaka mingi sana kote Japani au hata China, way of life namaanisha kuanzia chakula unachokula, huwezi kufanya martial arts halafu unakula kula hovyo cchochote kinachokuja mbele ya meza, martial arts inakupa mental fitness, inakusaidia kuishi vizuri hapa Duniani kwa kuelewa changamoto zilizopo na jinsi ya kuzikabli, ina kutayarisha na yanayokuja mbeleni, mfano mtu anayefanya marshal arts hawezi kuwa mgomvi hata siku moja, hawezi kumpiga Mke wake hata siku moja hata kama Mwanamke akilianzisha, ni mfano tu, ...
 
Mimi nimefanya na naendelea kufanya marshal arts jiu jitsu ya Kibrazili, hakuna mtu anayefanya marshal arts akawa kibonge na mentally unstable namna hiyo kama Tundu Lissu, ondoeni porojo zenu hapa, ...
😂😂
 
Sijaona Mlinzi yoyote hapa (hapo) sana sana naona mtu wa kawaida ambaye anataka kupewa 'Sifa' ambazo hata kwa '15%' hapaswi kuwa nazo.
 
Sijaona Mlinzi yoyote hapa ( hapo ) sana sana naona Mtu wa Kawaida ambaye anataka kupewa 'Sifa' ambazo hata kwa '15%' hapaswi kuwa nazo.

[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
 
Back
Top Bottom