Mfahamu mlinzi wa Tundu Lissu, Renatus Hangaya. Asema alimfahamu 2006 kumfundisha 'Martial Arts'

Mfahamu mlinzi wa Tundu Lissu, Renatus Hangaya. Asema alimfahamu 2006 kumfundisha 'Martial Arts'

Yah ni kweli na mjua Kamanda TL kuanzia kule LEAT ni muumini wa CHETEZO
 
Unamaanisha nini? Kwamba ukiwa mnene huwezi fanya martial arts au ukifanya martial arts huwezi kunenepa?

Kuna 'mwanangu' alikuwa akinifundisha hizo mambo miaka ya 2000 mwanzoni, kwa sasa ni komando wa jeshi. Huyu jamaa ni bonge kabla hajawa soldier na sasa bado ni bonge.

Nilikutana naye kipindi flani hapa nyuma, nikamtania kwa mwili huu we ni 'komando hewa', kuna tukio alilifanya pale mbele ya watu kila mtu akabaki mdomo wazi. Jamaa ni bonge ila ni mwepesi kuliko 'vimbaumbau'.
Wewe ni muongo
 
Mimi nimefanya na naendelea kufanya marshal arts jiu jitsu ya Kibrazili, hakuna mtu anayefanya marshal arts akawa kibonge na mentally unstable namna hiyo kama Tundu Lissu, ondoeni porojo zenu hapa, ...
mkuu hiko sio kigezo kuna raia wa kuitwa samo hung ni kibonge ila balaa
 
Wakuu habari,

Ktk pitapita zangu mitandaoni nimekutana na interview ya huyu jamaa ambae alikuwa mlinzi wa Aliyekuwa mgombea uraisi Kupitia Chadema ndugu Tundu Lissu.Kwa jina anaitwa Renatus Charles Hangaya.

Hakika interview ile imenisisimua na kushawishika kutaka kumjua zaidi jamaa.Anaonekana ni mtu makini na kuna kitu ndani yake.Pia lile dude(silaha)alilokuwa nalo kama ulinzi wao.

Je kuna yeyote anaemfaham kwa maelezo zaidi?
 
Jamaa namkubali sana kwa kumuona, ingawa sikuwa najua jina lake. Interview yake umeiona wapi? Unaweza ukaturushia link tuone.
 
Mimi nimefanya na naendelea kufanya marshal arts jiu jitsu ya Kibrazili, hakuna mtu anayefanya marshal arts akawa kibonge na mentally unstable namna hiyo kama Tundu Lissu, ondoeni porojo zenu hapa, ...
Mbona sam hong kibonge
 
Mimi nimefanya na naendelea kufanya marshal arts jiu jitsu ya Kibrazili, hakuna mtu anayefanya marshal arts akawa kibonge na mentally unstable namna hiyo kama Tundu Lissu, ondoeni porojo zenu hapa, ...
Kweli we bolizozo
 
Hongera kwa umahiri wao kwa ulinzi makini wa kamanda Lissu na msafara wote.
 
Back
Top Bottom