wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Yaliyofichika yanaanza kuwa hadharani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taaluma ya mapigano yenye kuhusisha mwili na wakati mwingine silaha zisizo za motoMartial arts ni nini jamani
Ok, kama huo nadhani hata baba yako mtaalamu sanaNi mchezaji wa Manchester United
Maharage yaloungwa nazi ikakoleaMartial arts ni nini jamani
Wewe ni muongoUnamaanisha nini? Kwamba ukiwa mnene huwezi fanya martial arts au ukifanya martial arts huwezi kunenepa?
Kuna 'mwanangu' alikuwa akinifundisha hizo mambo miaka ya 2000 mwanzoni, kwa sasa ni komando wa jeshi. Huyu jamaa ni bonge kabla hajawa soldier na sasa bado ni bonge.
Nilikutana naye kipindi flani hapa nyuma, nikamtania kwa mwili huu we ni 'komando hewa', kuna tukio alilifanya pale mbele ya watu kila mtu akabaki mdomo wazi. Jamaa ni bonge ila ni mwepesi kuliko 'vimbaumbau'.
Wewe ni muongo
Na wewe ndio ulikua mwalimu wanguHata darasani ulikuwa huelewi kila kitu;
mkuu hiko sio kigezo kuna raia wa kuitwa samo hung ni kibonge ila balaaMimi nimefanya na naendelea kufanya marshal arts jiu jitsu ya Kibrazili, hakuna mtu anayefanya marshal arts akawa kibonge na mentally unstable namna hiyo kama Tundu Lissu, ondoeni porojo zenu hapa, ...
Daaa kweli ishi muda mrefu ujifunze na ushuhudie mengi.Hiyo silaha nigobole au Nini
Mbona sam hong kibongeMimi nimefanya na naendelea kufanya marshal arts jiu jitsu ya Kibrazili, hakuna mtu anayefanya marshal arts akawa kibonge na mentally unstable namna hiyo kama Tundu Lissu, ondoeni porojo zenu hapa, ...
Kweli we bolizozoMimi nimefanya na naendelea kufanya marshal arts jiu jitsu ya Kibrazili, hakuna mtu anayefanya marshal arts akawa kibonge na mentally unstable namna hiyo kama Tundu Lissu, ondoeni porojo zenu hapa, ...
Mbona sam hong kibonge