Mfahamu mlinzi wa Tundu Lissu, Renatus Hangaya. Asema alimfahamu 2006 kumfundisha 'Martial Arts'

Kama hayo yote yangekuwa kweli, Lissu asingeondoka kwa kuogopa kutishiwa.
 
Nashindea kuelewa , imekuwaje lissu kaondoka kwa sababu ya kutishiwa ikiwa ana mlinzi mahiri kama huyo?
Hongera kwa umari wao kwa ulinzi makini wa kamanda Lissu na msafara wote.
 
Mimi nimefanya na naendelea kufanya marshal arts jiu jitsu ya Kibrazili, hakuna mtu anayefanya marshal arts akawa kibonge na mentally unstable namna hiyo kama Tundu Lissu, ondoeni porojo zenu hapa, ...
Umewahi kumuona Boro Yeung?
 
Mimi nimefanya na naendelea kufanya marshal arts jiu jitsu ya Kibrazili, hakuna mtu anayefanya marshal arts akawa kibonge na mentally unstable namna hiyo kama Tundu Lissu, ondoeni porojo zenu hapa, ...

Labda basda ya kuwa muhanga. Adam aniambie hiyo marshal art yake labda ya Abdala Master. Walinzi wa Lissu kabla ya huyu wa serikali walikuwa wanakimbia miguu kama makinda ya bata.
 
Akipigwa na mdunguaji kwa mbali kina msaada kweli?
 
Huyo ni mgambo tu kama wale mabaunsa. Si unamsikia tu anavyoongea pia anatumia au alishatumia bhangi huyo!
 
Mimi nimefanya na naendelea kufanya marshal arts jiu jitsu ya Kibrazili, hakuna mtu anayefanya marshal arts akawa kibonge na mentally unstable namna hiyo kama Tundu Lissu, ondoeni porojo zenu hapa, ...
Marshal Arts umefanya kwenye kolido za Lumumba
 
Jamaa kwa muonekano ni tofauti sana na ni mkakamvu kuwazidi Makirikiri wa Baba Jesca
 
Mimi nimefanya na naendelea kufanya marshal arts jiu jitsu ya Kibrazili, hakuna mtu anayefanya marshal arts akawa kibonge na mentally unstable namna hiyo kama Tundu Lissu, ondoeni porojo zenu hapa, ...
Wewe Dar graduate: it is martial arts, not marshal arts
 
This dude kama ana mentality ya kuwatisha watanzania .utadhani enzi za maji maji
 
Jiwe na viPush Up vyake hafui dafu kwa TL!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…