Mfahamu mlinzi wa Tundu Lissu, Renatus Hangaya. Asema alimfahamu 2006 kumfundisha 'Martial Arts'

Mimi nimefanya na naendelea kufanya marshal arts jiu jitsu ya Kibrazili, hakuna mtu anayefanya marshal arts akawa kibonge na mentally unstable namna hiyo kama Tundu Lissu, ondoeni porojo zenu hapa, ...
Marshal arts ndiyo nini?
 
Hili no tangazo la biashara au CV kuomba kazi?
 
Mwambie pia, yule mlinzi wa Magufuli yule wa usalama asimwone bonge, anapiga hatarii..
 
Wapo ma sensey kibao vibonge,
Mimi nimefanya na naendelea kufanya marshal arts jiu jitsu ya Kibrazili, hakuna mtu anayefanya marshal arts akawa kibonge na mentally unstable namna hiyo kama Tundu Lissu, ondoeni porojo zenu hapa, ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…