Mfahamu Mtawala wa Dubai, Sheikh Maktoum

Naomba kujua DUBAI ni nchi? Au ni jiji la biashara ndani ya nchi ya UAE.
na ABU DHABU NDO MJI MKUU WA NCHI YA UAE?

HEBU TUELEKEZE HAPA COZ ULIVYOAELEZEA HAPO NI KAMA DUBAI NA ABU DHABI NI SEHEMU MBILI TOFAUTI.
 
Dubai wanapunguza human contact Kwa kuweka mashine
Halafu wao kule wapo wachache,na hela za mafuta zimefanya kila familia ya mdubai kuwa tajiri.Sasa hapa Tanzania wafanyakazi watapunguzwa ndo itakuwa kilio.Subirini mtasikia tu.
 
Naomba kujua DUBAI ni nchi? Au ni jiji la biashara ndani ya nchi ya UAE.
na ABU DHABU NDO MJI MKUU WA NCHI YA UAE?

HEBU TUELEKEZE HAPA COZ ULIVYOAELEZEA HAPO NI KAMA DUBAI NA ABU DHABI NI SEHEMU MBILI TOFAUTI.
Ni sawa unauliza,Zanzibar ni nchi au ni mji?
 
Pongezi nyingi kwake Shehe Al Maktoum. Nimewahi kufika Dubai mara 3 Ila kila nikifika nakuta kitu kipya. Kama Dubai wameweza kubadili jangwa kuwa mji wa kibiashara na utalii sisi hapa tuna mbuga, bandari, madini. Tunashindwa wapi?
Kakata njia za rushwa.. nilimsikia dereva tax akisema.
 
Naomba kujua DUBAI ni nchi? Au ni jiji la biashara ndani ya nchi ya UAE.
na ABU DHABU NDO MJI MKUU WA NCHI YA UAE?

HEBU TUELEKEZE HAPA COZ ULIVYOAELEZEA HAPO NI KAMA DUBAI NA ABU DHABI NI SEHEMU MBILI TOFAUTI.
Abu Dhabi Ni mji/Emirati Vs Dubai ni mji/Emirati
 
Na sasa anakuja kukugeuza kiuchumi
 
Punde, Dar itakua kama Dubai
 
Mshamba ni wewe. Siku zote watu wenye akili fupi huwaza kuuza rasilimali badala ya kuzitumia kujiletea maendeleo.

Hio ni common kwa watu wa Pwani zaidi. Hupenda sherehe zaidi na hafla ila sio kuchapa kazi.
wameuza pwani yote kwa wachaga
 
Mshamba ni wewe. Siku zote watu wenye akili fupi huwaza kuuza rasilimali badala ya kuzitumia kujiletea maendeleo.

Hio ni common kwa watu wa Pwani zaidi. Hupenda sherehe zaidi na hafla ila sio kuchapa kazi.
Cha Ajabu matajiri wote Nchi hii wanatoka Pwani/Kaskazini, mazao makubwa Nchi hii yanauzwa sana ni Korosho, Pamba, Chai, kahawa, Tumbaku na Karafuu, ukitoa Pamba na Tumbaku yaliyobakia yote yanatoka Ukanda huo, Kama korosho ndio linaongoza, Matrilioni Ya hela.

Viwanda vikubwa vikubwa vipo Pwani, Karibia Cement yote inatoka pwani, Vipodozi, na Bidhaa kibao.

Maybe watu wa Pwani ni smart?
 
Hapana ni vitu viwili tofauti. DUBAI NI kama Dar es Salam
Abu dhabi ndo Dodoma.
Ni mji ndnai ya nchi ya UAE
Yupo sahihi Dubai ni Nchi, huo ni Muunganiko wa Nchi, Zimeungana miaka ya 70 hapo wala sio mbali, ndio Maana Dubai ina kiongozi wake kama ilivyo Zanzibar na Kiongozi wake.
 
Kafanya Makubwa ndio ila Yeye pia Dubai kaikuta, watu wengi wanalinganisha Dubai na Saudi ama Qatar ila Dubai iliendelea Zamani sana, hata kabla ya Mafuta ilikuwa ni Mji wa Biashara watu Dunia Nzima walikua wanafungasha Mizigo. Wahindi na wapersia walikuepo Dubai zamani sana.

Pia licha ya yote hayo aligongewa na kuchapiwa mke wake kipenzi Haya bint Hussain binti wa aliyekuwa mfalme wa Jordan.

Wanawake sometimes wajinga sana.
 
Acha kuingilia maisha ya watu, ukatili wake na kuleta maendeleo inahusiana nini!! Halafu uachage kuwasema na kuwachukia waarabu, hivi huwa unafaidika nini kwa mfano!! Wewe badala kufocus na mafisadi papa na manyangumi yanakufanya urudi nyuma kimaendeleo wewe unawasakama waarabu tu kila mara, basi nenda kwenye nchi zinazounga mkono ushoga ukanunue nuclear bomb uwamalize waarabu wote ndipo ufurahi na roho yako isuuzike

Jirekebishe dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…