Mfahamu Mtawala wa Dubai, Sheikh Maktoum

Pia licha ya yote hayo aligongewa na kuchapiwa mke wake kipenzi Haya bint Hussain binti wa aliyekuwa mfalme wa Jordan.

Wanawake sometimes wajinga sana.
Mfalme wa Jordan Ni Baba wa Haya Kwa mke wake wa tatu Queen Alia. Huo uongo ulishindwa hata Ku-google?
 
Asante kwa kunielewesha upo sahihi mkuu
Yupo sahihi Dubai ni Nchi, huo ni Muunganiko wa Nchi, Zimeungana miaka ya 70 hapo wala sio mbali, ndio Maana Dubai ina kiongozi wake kama ilivyo Zanzibar na Kiongozi wake.
 
Kwanini Dubai ni tajiri? Jibu hili hapa.
 

Attachments

  • VID-20230612-WA0072.mp4
    9.3 MB
Pongezi nyingi kwake Shehe Al Maktoum. Nimewahi kufika Dubai mara 3 Ila kila nikifika nakuta kitu kipya. Kama Dubai wameweza kubadili jangwa kuwa mji wa kibiashara na utalii sisi hapa tuna mbuga, bandari, madini. Tunashindwa wapi?
Sisi hapa tunawaza tu kukodisha
 
Tz Tuna Magufuli siku yakumuadhimisha nitatembea mwanzo mwisho as I was among silence elite who campaign for Magufuli. Hakunijuwa wala sikumjuwa labda wazazi wangu. Asante Baba Magufuli siku moja kizazi cha wa Tanzania tuta kukumbuka kwa namba tofauti sana.
 
Mambo yake binafsi ni yake na mkewe na wanawe.

Tutadanganyana tu.
 
Tunamkaribisha aje awekeze Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…