Mfalme ‘akiuawa’ huwa inachukua muda mrefu sana Taifa kupona

The Rashidun Caliphate imenikumbusha kuuwawa kwa kiongozi wa Dola ya Kiislamu Swahaba Uthmaani ibn Affaan (RadhiyaAllahu 'anhu) kulileta matatizo na mgawanyiko mkubwa katika Umma na athari zake mpaka Leo zimeathiri Uislamu
Ali alijichanganya kutowakemea wafuasi wake baada ya kumuua Uthaman. Yeye akadhani atatawala kirahisi huku kina Muawiya ndugu wa Caliph Uthman wanaangalia tu. FITNA ikaanza na uislamu ukagawanyika mpaka leo. The Rashidun Caliphate ikaanguka, The Ummayed Dynasty ikazaliwa na matatizo hayakuisha hapo. The Ummayed Dynasty ikaja kupinduliwa na Abbassid Dynasty ambapo alipona Abdulrahman peke yake kujificha Spain.

Baada ya The Rashidun Caliphate kuanguka, hakujawahi kutokea tena duniani dola la kiislamu lililowahi kufanya vizuri tena kuwaunganisha watu wa makabila yote chini ya bendera moja. The Ummayeds ndiyo waasisi wa siasa za Uarabu na Weusi, ambazo zilipelekea wakapoteza majimbo yao makubwa barani Afrika.

Ila yote haya yalianza na kifo cha kinyama cha Caliph Uthman. Huwezi kufanya fitna kwa kiongozi mkubwa wa nchi halafu ufikirie yameisha tu. Hapa Tanzania ni suala la muda tu, wewe subiri utashuhudia mazito.
​
 
Kweli kabisa mkuu.
 
Lazima wakilipie walichokianzisha na hali haitotulia coz ardhi ishakunywa damu ya mteule na wananchi wake..!!

Damu zitawalilia kila siku na hazitonyamaza, kama taifa tutapitia kipindi kigumu sana..!!
Nchi ni kama Machine na siasa ndiyo Manual yake. Usipoisoma Manual vizuri Machine lazima ikushinde.

Binafsi nimeacha kumuangalia SSH na CHEKI-BOBU nafahamu fika kwamba hata wakiondoka Tanzania itakuwa na matatizo makubwa zaidi. Wao wenyewe watalipia kwa dhambi zao dhidi ya watanzania, hili nakukuhakikishia asilimia 100%. Japo mpaka hapa tulipofika nchi ina matatizo mengi mno, ndani na nje.

Mifumo ya nchi haifanyi kazi vizuri.
​
 
Suluhu ni nini ili kuliokoq taifa na vizazi vyetu?
 
Binafsi naungana na wewe hapo kwenye wasiwasi wa vifo wa viongozi hao, na nili anza kusikitika kwa kutazama jinsi mambo yalivyo kuwa yaki enda hovyo.

civil services wetu walikosa back up plan, na hata viongozi wao wali kosa maono ya kuona mabadiliko ya mhimili wa nchi yetu.

Imagine imrani kombe ana yeyushwa kwa lazima, nyinyi kama taasisi hamuoni kuwa mna tishiwa hadharani?

Mikakati ili paswa kuwekwa mapema, ili kudhibiti uhuni wa vyama na viongozi wake.

Matokeo yaje wahuni wa vyama wali wawahi wao kwa kuwa ingiza chamani, na kuwa honga vyeo na fedha ili wawatumie watakavyo.
 
Inaoneka ya mwaka 1995 mwamba alivyonyimwa ilimuama sana akajiapiza kuwa Mafia maana yeye ndiye alikuwa na ushawishi mkubwa na kukualika zaidi kipindi hiko kushinda mpinzani wake ila matokea yakaja ndivyo sivyo akaona kumbe kuwa kinyonge hakuna maana kabisa
 
Umewaza vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…