Mfalme ‘akiuawa’ huwa inachukua muda mrefu sana Taifa kupona

Mfalme ‘akiuawa’ huwa inachukua muda mrefu sana Taifa kupona

Mkapa angewezaje kukemea haya yaliyo tokea October 29 hali ya kuwa yeye mwenyewe alisha fanya hayo hayo huko zanzibar?
Kiufupi rais yeyote watz kiapo chake cha kwanza ni kihakikisha maslahi ya ccm yana simama alafu ya nchi ndo yafuate.
Ni swala mda tu, Zanzibar, itamilikiwa na Tanganyika watake wasitake asema Bwana
 
.....Ndiyo alikuwa Dikteta, Ndiyo alikosea mambo mengi tu. Lakini kwanini mlimpitisha mkifahamu tabia zake fika. Kwanini hamkusubiri amalize muda wake kama ambavyo mlimvumilia CHEKI-BOBU aliyekuwa anafanya mambo ya ajabu Ikulu yenye madhara makubwa kwa nchi ???


Duh hii inaumiza sana ila ndo hapa tulipo ss hakuwezi kutulia
 
Kama bi chura akikata moto ntafanya boonge la party
Ni kula na kunywa siku 3
Kuwakumbuka masela wangu waliotangulizwa wakidai haki zao

Anyway mkuu una madini
Respect toka kitambo!
chonde chonde hiyo party unialike mkuu, kama itakuwa mbali sana nitashiriki hata kwa njia ya mtandao.
 
Andiko zuri mkuu, nakumbuka nili wahi kumwambia Kiranga kuwa mkapa ndio alikuwa Godfather wetu aliye baki.
Angalau ali tufikiria na kujaribu kubadilisha meza, tukampata jiwe licha ya kwamba hakuwa mkamilifu.
Mkapa ali mvumilia chekibobu licha ya kubanwa mbavu muda mwingine, chekibobu akajiona yuko above the law na kushindwa kumvumilia jiwe ona tunavyo uma meno leo hii.
 
Mi nadhani baada ya kuondoka mzee Mkapa, ili apatikane mwingine wa kuweza kukemea na nchi ikaelewa kuna mmoja humu katikati ameonekana kupoteza sifa za "ubaba" na hivyo nguvu ya kukemea hana tena

Katika hali kama hii linakuja swala ambalo sio zuri sana kulisema lakini inabidi liwe hivyo; aondoke kwa utata kama walivyoondoka wengine ama akalishwe chini na wazee wenye busara (naamini wapo) aambiwe "amepoteza sifa za kukemea lolote" hivyo atambulishwe mtu atakayeweza kukemea na akasikilizwa
Nani ana hiyo moral authority ya kumtambulisha?
 
Back
Top Bottom