Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
Umeisoma vizuri kweli,hebu soma tenaKwamba Abili na Caini waligombania papuchi?
Mbona biblia haisemi hivyo?
Yes hata mimi nimeuzungumzaUMEONGEA BONGE LA POINT!.
Hilo jambo nimelizungumza katika comments za nyuma!.
SAHIHI KIONGOZI!.
annunaki inasemekana wapo poa tu[emoji3][emoji3]Annunaski ni viumbe washenzi au piece tu?
Mkuu biblia haielezi kila kitu hata Adam alikuwa na watoto zaidi ya seth na abel na kumbuka kabla ya seth kuzaliwa kulikuwepo na dada yake ila hakuna mahala anatajwa kabisa!!!! So ukitaka kujifunza zaidi usijifunge tu kwenye biblia kumbuka vitabu vya manabii walioandika biblia ni vingi sana ila walichagua vichache tu ambavyo ni vya muhim vingine vimeachwaKwamba Abili na Caini waligombania papuchi?
Mbona biblia haisemi hivyo?
Sasa nimeamini....na hivyo vitabu vilivyoachwa ndo vina ukweli wote! Ila kwa manufaa ya watu fulani humu duniani vimefichwa!Mkuu biblia haielezi kila kitu hata Adam alikuwa na watoto zaidi ya seth na abel na kumbuka kabla ya seth kuzaliwa kulikuwepo na dada yake ila hakuna mahala anatajwa kabisa!!!! So ukitaka kujifunza zaidi usijifunge tu kwenye biblia kumbuka vitabu vya manabii walioandika biblia ni vingi sana ila walichagua vichache tu ambavyo ni vya muhim vingine vimeachwa
Mfano ukisoma kitabu cha jasher utagundua kitabu cha mwanzo ni summary tu maana jasher imeingia deep sana kwenye story ya mwanzo wa dunia ila kitabu cha mwanzo kinapita juu juu
Kuna watu wanasema hivi vitabu vilivyoachwa eti vya kishetani ndio maana vimeachwa ila cha kushangaza waandishi wa biblia kadhaa wanavinakili mfano Yuda alinakili baadhi ya mistari kutoka kitabu cha Enoko vilevile hata Joshua kwenye biblia alinakili maneno kutoka kitabu cha Yasher ssa kma hao wahenga wa imani walisoma hivo vitabu kwanni sisi tukivisoma tunaonekana wapinga kristo!!! Nini kinafichwa??
Cc Malcom Lumumba mitale na midimu Mchawi Mkuu Kipanga boy 911sep11
Watu mna mawazo jamani yaani unawza hadi natabasam[emoji122]nimekupata vizuri mkuu, hasa kwenye hitimisho pametulia zaidi.
ninaking james yangu hapa yenyewe hata chakula inaita nyama (meat).
sina reference za kigiriki na kiebrania, zaidi huwa natafuta kwenye websites zinazotoa ufafanuzi wa neno kwa neno.
Taadhali ni muhimu katika kujadili huku ukiwa na backup ya ukweli. Binafsi naamini Bibilia ina ULTIMATE AUTHORITY kwenye maisha yangu ya Imani, chochote nje ni assumption kama zinaumana na bibilia naziamini kama zinapingana bibilia inabaki kama mamlaka kuu.
Natambua kuna maandishi mengi nje ya bibilia ambayo yanapewa hadhi sawa na bibilia lkn contents zinakinzana na bibilia. nimejiwekea wigo wa bibilia pekee.
Kuhusu suala la Tuiache bibilia ijitafsiri kusema wale ni malaika au sio malaika inaweza ikawa na impact ndogo katika imani. Lkn nadhalia ya wale kuwa malaika mkuu inafungulia mafuriko ya mafundisho tata kuaminika.
1: Itakutaka uamini kitabu cha Enoch &co ambacho kina contradictions kibao.
2:Bibilia inasema mwanadamu nimekuumba punde kidogo ya malaika, akiwepo nephili ambaye ni hybrid wa malaika maana yake atakuwa na intermediate ability, hivyo kama ambavyo majini na mapepo hayakufa katika mafuriko kuna uwezekano akawepo huyo mdau OGU kukwepa hiyo adhabu ya Mungu. Hii inahafifisha uwezo wa Mungu kuwa wanadamu hao wanaweza kukwepa adhabu ya Mungu kiujanjaujanja.
3:Itabidi tukubaliane na hadithi zilizopo uswahilini kuwa flani alizaa na jini.
4:Itabidi tutlie mashaka authoritative statement ya yesu kuwa Malaika hawazai, wala hawana hizo habari.
5:Itatutaka tujiulize hilo zoezi la mapenzi ya malaika na wanadamu lilikwamia wapi, maana baada ya gharika majin na malaika walikuwepo, na hao wanadamu wapo hivyo hadi kesho tunaweza kudate malaika na majini. Tutaipa mzigo bibilia kutoa majibu ambayo tayari yapo kwenye vitabu vinavyopingana na bibilia.
mtazamo kiongozi.
Mkuu biblia haielezi kila kitu hata Adam alikuwa na watoto zaidi ya seth na abel na kumbuka kabla ya seth kuzaliwa kulikuwepo na dada yake ila hakuna mahala anatajwa kabisa!!!! So ukitaka kujifunza zaidi usijifunge tu kwenye biblia kumbuka vitabu vya manabii walioandika biblia ni vingi sana ila walichagua vichache tu ambavyo ni vya muhim vingine vimeachwa
Mfano ukisoma kitabu cha jasher utagundua kitabu cha mwanzo ni summary tu maana jasher imeingia deep sana kwenye story ya mwanzo wa dunia ila kitabu cha mwanzo kinapita juu juu
Kuna watu wanasema hivi vitabu vilivyoachwa eti vya kishetani ndio maana vimeachwa ila cha kushangaza waandishi wa biblia kadhaa wanavinakili mfano Yuda alinakili baadhi ya mistari kutoka kitabu cha Enoko vilevile hata Joshua kwenye biblia alinakili maneno kutoka kitabu cha Yasher ssa kma hao wahenga wa imani walisoma hivo vitabu kwanni sisi tukivisoma tunaonekana wapinga kristo!!! Nini kinafichwa??
Cc Malcom Lumumba mitale na midimu Mchawi Mkuu Kipanga boy 911sep11
mkuu mimi vitabu vya Jasher na Enock na apocalipse books zote sizipi mamlaka sawa na bibilia.Mkuu biblia haielezi kila kitu hata Adam alikuwa na watoto zaidi ya seth na abel na kumbuka kabla ya seth kuzaliwa kulikuwepo na dada yake ila hakuna mahala anatajwa kabisa!!!! So ukitaka kujifunza zaidi usijifunge tu kwenye biblia kumbuka vitabu vya manabii walioandika biblia ni vingi sana ila walichagua vichache tu ambavyo ni vya muhim vingine vimeachwa
Mfano ukisoma kitabu cha jasher utagundua kitabu cha mwanzo ni summary tu maana jasher imeingia deep sana kwenye story ya mwanzo wa dunia ila kitabu cha mwanzo kinapita juu juu
Kuna watu wanasema hivi vitabu vilivyoachwa eti vya kishetani ndio maana vimeachwa ila cha kushangaza waandishi wa biblia kadhaa wanavinakili mfano Yuda alinakili baadhi ya mistari kutoka kitabu cha Enoko vilevile hata Joshua kwenye biblia alinakili maneno kutoka kitabu cha Yasher ssa kma hao wahenga wa imani walisoma hivo vitabu kwanni sisi tukivisoma tunaonekana wapinga kristo!!! Nini kinafichwa??
Cc Malcom Lumumba mitale na midimu Mchawi Mkuu Kipanga boy 911sep11
Ukweli unafichwa na mkumbuke biblia inasemaga ukweli na Adhabu ya hao walioificha kweli ipo siku ya mwisho wamefanya kondoo wa bwana wasijue lipi jani lipi tembele, na Haya yote yalipangwa kwenye Berlin Conference. Yakiwa na Target maalum. Hata vyombo vya Habari visemavyo ukweli kuhusu berlin conference huwa vinabanwa sana mfano Al Jazeera akipewa nafasi ya kujitawala dunia itajua ukweli na mtawaona waarabu ni watu wema sana na mtagundua wazungu ni watu makatili sana tena ndio manefili hayo.Mkuu biblia haielezi kila kitu hata Adam alikuwa na watoto zaidi ya seth na abel na kumbuka kabla ya seth kuzaliwa kulikuwepo na dada yake ila hakuna mahala anatajwa kabisa!!!! So ukitaka kujifunza zaidi usijifunge tu kwenye biblia kumbuka vitabu vya manabii walioandika biblia ni vingi sana ila walichagua vichache tu ambavyo ni vya muhim vingine vimeachwa
Mfano ukisoma kitabu cha jasher utagundua kitabu cha mwanzo ni summary tu maana jasher imeingia deep sana kwenye story ya mwanzo wa dunia ila kitabu cha mwanzo kinapita juu juu
Kuna watu wanasema hivi vitabu vilivyoachwa eti vya kishetani ndio maana vimeachwa ila cha kushangaza waandishi wa biblia kadhaa wanavinakili mfano Yuda alinakili baadhi ya mistari kutoka kitabu cha Enoko vilevile hata Joshua kwenye biblia alinakili maneno kutoka kitabu cha Yasher ssa kma hao wahenga wa imani walisoma hivo vitabu kwanni sisi tukivisoma tunaonekana wapinga kristo!!! Nini kinafichwa??
Cc Malcom Lumumba mitale na midimu Mchawi Mkuu Kipanga boy 911sep11
Mkuu mtu akijiuliza kma seth na cain ndio wana wa Mungu na wana wa adamu je vipi kuhusu watoto wengine wa Adam ambapo hta Cain mwenyewe alienda kuishi kwao huko Nod!! Je wanaangukia upande upi???Wana wa Mungu ni uzao wa adam...seth.....na kuendelea
Wana wa wanadamu...ni uzao wa Cain ...na kuendelea
Gharika likakipoteza kizazi cha Cain chote sababu Nuhu alikuwa bloodline ya Seth(adam)
Then ikaja BUT BUT BUT why KAANANI alaaniwe badala HAM????
Vipi kuhusu wake wa watoto wa nuhu hasa wa Ham....je alikuwa na damu ya Cain ( au alikuwa tayari ana mimba ya mtu wa uzao wa cain ambaye sio Ham)??????
Wanatuaminisha sababu wao walitunza maandiko sisi hatuna maandishi ndio maana hatuaminiki..... Mfano kma mngetunza maandishi kabisa na baadhi ya painting ama souvenir za uwepo wa watu wenye maajabu hapa Tanzania unafkiri wangepinga ila kwakuwa hatuandiki wataishia kutulisha yao tu alafu ya kwetu yatakufa hewanihivi kwanini hizi story za kale za wazungu tunalazimishwa kuamini ni matukio yaliyotokea kweli lakini zile za kibongo za hadithi hadithi tunaaminishwa ni hadithi tu???nakubali watu wenye maumbo makubwa waliwahi kuwapo lakini hii size inayoelezwa sitaki kuamini!!katika hadithihadithi Wanefili si ndio Mazimwi???
hahaaa...bangi hziJamani haya yanawezekana maana hata toothpick walizokuwa wanatumie enzi hizo ni kubwa sana kwa sasa unaweza kuzifananisha na nguzo ya umeme.
Nakubaliana na ww mambo mazito mengi sana tunafichwa kwa majibu mepesi kma hayo ya kwamba VITABU NJE YA BIBLIA NI VYA KISHETANI!! Ila wakubwa wa hii dunia hata vatican wamevisoma weee na wanavitunza kwenye maktaba yao na wamejifunza mambo ya ajabu kabisa ila ssi wenzangu na mmi tukivijengea hoja tunaonekana mashetani kwa kweli kwa staili hii tutaendelea kuachwa gizani milele huku watu wachache wakibaki na ukweli wa mamboSasa nimeamini....na hivyo vitabu vilivyoachwa ndo vina ukweli wote! Ila kwa manufaa ya watu fulani humu duniani vimefichwa!
Nasikia yule jamaa aliyechora mchoro wa monalisa ( sijui anaitwa Da Vinci) wakati anafanya kazi ya architect pale Vatican aligundua siri nyingi mno akabaki kuduwaa
Alisema ukweli umefichwa ila uwongo ndo umetamalaki duniani!
hahaaaaaSasa huyo OG kama toothpick ilikuwa kama nguzo za umeme vipi kitombeo chake/chao????
Joshua 10:13mkuu mimi vitabu vya Jasher na Enock na apocalipse books zote sizipi mamlaka sawa na bibilia.
Ukiziingiza zitaibua Contradiction ambazo zitaondoa hata maana ya bibilia nzima.
summary ya mwanzo inanitosha kabisa.
kuhusu yuda kuvicopy na wazee wa zamani hapo huwa inaleta debate kubwa sana, maana wapo wengi wanaamini vilitungwa kiujanjaujanja na kuwa backdated ili vipate authority na vionekane kuwa vilicopowa kwenye bibilia.
mjadala huo umo humo lkn kwa maoni yangu huwezi kuviamini katika hadhi sawa na bibilia alafu ikabaki unamwamini Mungu katika viwango vya bibilia. kwanza hakiwepo hata kwenye canon za wayahudi nadhani.
Pia ni kweli kuna vitabu vingine vingi ambavyo vimekuwa refered na manabii wa kwenye bibilia lkn havikujumuishwa kwenye bibilia. ikiwa vinapatikana mahala na havikinzani na maandishi ya bibilia ni jambo jema.
maoni.
aiseee...hahaa kweli bangi sio mchichaHapo kitombeo hakijasimama, basi ata wanifeli wa kike walikuwa na bonge la papuchi haki ya mtume...!
kidogo wewe nimekuelewa lakini bado kuna mkanganyiko"" maana inasadikika kuwa huyo mtu ndiye aliyempa kampani Nuhu ya kutengeneza safina...Kitu ninachokijua kwa sehemu ndogo tu kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba, Mungu akitaka kufanya jambo lake hashindwi kulifanya, huyo mnefili aliyesalia kwa kufikiri fikiri tu yaweza kuwa alikuwa mimba wakati wa gharika labda.
Kinyume na hapo yaliyobakia yote ni vigumu kukubaliana nayo kwa sababu tangu mvua kunyesha mpaka maji kuanza angalau kupungua ni zaidi ya mwaka! Sasa huyo ni kiumbe gani mwenye mwili ambaye hali wala kunywa kwa mwaka mzima kwenye dharuba nzito namna hiyo?!!!
Mkuu umeongea ukweli kabisa hata biashara ya utumwa tumeaminishwa waarabu waliwatesa sana waafrika ila hatuambiwi ukatili wa wazungu waliofanyia waafrika hadi kuwapeleka kwenye maonyesho ya wanyama na kuteketeza kizazi karibia chote cha wamarekani wekundu achilia mbali wajerumani walivoteketeza karibia kabila zima la herero enzi hizo wamavamia namibia!! Na wamefanikiwa ndio maana hata leo hii Tanzania wanamuona muarabu ni tishio akirudi zanzibar kuliko mzungu anavyojileta kuwekeza zanzibar!! Ni ajabu sanaUkweli unafichwa na mkumbuke biblia inasemaga ukweli na Adhabu ya hao walioificha kweli ipo siku ya mwisho wamefanya kondoo wa bwana wasijue lipi jani lipi tembele, na Haya yote yalipangwa kwenye Berlin Conference. Yakiwa na Target maalum. Hata vyombo vya Habari visemavyo ukweli kuhusu berlin conference huwa vinabanwa sana mfano Al Jazeera akipewa nafasi ya kujitawala dunia itajua ukweli na mtawaona waarabu ni watu wema sana na mtagundua wazungu ni watu makatili sana tena ndio manefili hayo.
nimekupata vizuri mkuu, hasa kwenye hitimisho pametulia zaidi.