mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Ipotezee wachafuzi wakija post itaharibika
Poa poa bro, nafanya hivo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipotezee wachafuzi wakija post itaharibika
in religious point of view ninakubaliana na wewe bt in a scientific point of view huyo ni wakufirika na hayupo.
Ni story tu,hiyo dhahabu wakiitoa wapi?wakitumia mitambo gani kuchimba.,na ilikwenda wapi,maana dhahabu haiozi
aliwezaje kuwahudumia kimwili wake 700 na bado ma concubine.
Kwa kweli alipendelewa. wanawake buku inamaana kama kila mmoja alimpitia mara 1 kwa mwaka basi kila siku alipitia watatu. MweeeeZamani hata watoto na wake walihesabika kuwa "mali" au utajiri,kwa hiyo kama alikuwa na Migoma halali 300,uongeze na michepuko 700,+watoto rundo!! Kweli alikuwa tajiri,ila ki siku hizi angeonekana Lofa tu.
kwa idadi ya wanawake hao si mpaka sasa bado uzao wake upo hai? Tuwatambue ni akina nan?
kisayansi mdudu hana vocal ya kuweza kuongea,hi story ni sawa na yule jamaa alikua kapanda punda kisha eti akaona malaika kaziba njia,punda akagoma kwenda,jamaa akampiga mjeredi mpaka punda akauliza anapigwa kwa kosa gani,punda hawezi ongea kamwe,
HahaAnabahati sana zamani hakukua na CAG wala TRA ingebidi atoe maelezo ya kina juu ya u ajiri wake.