Mfalme wa Saudi Arabia ashukuru Morocco kwa kuwawakilisha waarabu kwenye kombe la dunia

Ameshindwa kutofautisha inhabitants na ethnicity. Mfano Japanese ni Asians, Indians ni Asians. Hawa wote ni inhabitants wa same continent with different ethnicities.
 
Wale weusi waliokuwepo eneo hilo kabla ya waarabu hao kuvamia eneo hilo ambalo Leo linaitwa Morocco walienda wapi?
Uthibitisho unao kuonesha ilo eneo lilivamiwa na waarab? Mbna watanzania tuna argument za ajab namna hii. Em kaangalie raman uangalie arab land ni ipi na black land ni ipi
 
Kasome historia ya mtakatifu Augustine (bishop of hippo) eneo la kaskazini mwa afrika hasa hasa Algeria ilikuwa dini ya kikatoliki, walivamia na kuchinjwa na yaumn jihad
Ulitegemea bishop of hippo aseme warab walihamia kaskazini mwa Africa kwa aman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] like serious bro.Pale misri alikuepo firauni na musa wanaasii ya uarabuni hio ni before jesus sas sijui huyo bishop historia kaitoa wap?
 
Leo wanapigwa 3-0 lakin unashabikiaje timu ambayo hain blank hata mmoja, timu ya kiafrika ni France 50,50
 
Tatizo mnawashobokea na hawawendi kabisa...

Kaka mim ni muislam.Siku ukimsikia mtu anasema waislam jifunzeni uislam muachane na kiingereza muite #mpumbavu. Kweny uislam mungu anasema katuumba mataifa mbalimbali ili tujuane na haya mataifa hutumia lugha mbalimbali,lengo la kujuana litafikiwa vip kama hatujifunzi lugha za mataifa mbalimbali?
 
Upo kwenye hili kundi
 
Bora usiongee kitu kuliko kuongea kauli za kibaguzi
 
Wewe mbona inashobokea NATO na USA ni wazungu wenzio?au kwa vile kochoma wenzio?
 
Mnataka waseme wao sio waarabu? Ni waarabu and Africans simultaneously, can be proud of both, nothing wrong with that.
 
Hakusema umoja wa waarabu, alisema waarabu na waislamu, acheni kutetea uharo wa waarabu hadi lugha

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakujub ya mwisho. Mfalme kuwapongeza wamorocco kama warab sio kosa sabab Morocco ni warab kiasil na wapo kweny umoja wa kiarab.Pia rais wa Nigeria yuko sawa kuwapongeza wamorocco sabab ni waafrica kijiografia.Pia Shakira hana kosa kuwapongeza sabab tupo kweny dunia moja.Inshu ya uislam sijaiskia kweny interview ya yule mchezaji wala kweny maneno ya mfalme though muislam yoyote yule anahaki kuwapongeza wamorocco waislam pia wakristo mnahaki kuwapongeza wamorocco wakristo kama wapo.
 
Mbona hakuna shida, wawakilishe waarabu au wahindi sijui wabudha ni sawa tu.

Kwani wakisema kwamba huu ushindi ni kwa ajili ya weusi wote wewe utapata sh ngapi?
 
Kwa hiyo timu ya kandanda ya Morocco ni dhehebu la kiislam!!?..wewe sijui wanakulawiti!!..una akili za hovyo,hata Kama walisema si ni timu yao,uamuzi wao,siku Italia ikiingia kombe la dunia waambie waseme wanacheza kwa ajili ya kanisa,chuki humtafuna anayeihifadhi,endelea kuchukua uislam na waislam,itakusaidia
 
Ni maneno ya busara umesema...

Lakini kinachonitatiza ni kuwa kwanini mnaotetea hawa waarabu ni waislam??
Nyie sio waafrika? Au dini kwanza?
Akisema mkristo hayo maneno kidogo kwangu itamake sense.
 
the first African nation to make it... mfalme anaiwakilisha Afrika... Unajua Lugha ya Malkia???
 
Mimi mwarabu wa Nawatakia wamorocow wote leo wapate kipigo cha Mbwa Mwizi.
 
Ni maneno ya busara umesema...

Lakini kinachonitatiza ni kuwa kwanini mnaotetea hawa waarabu ni waislam??
Nyie sio waafrika? Au dini kwanza?
Akisema mkristo hayo maneno kidogo kwangu itamake sense.
Sijui wengne wanatetea kwa misingi ipi ila mimi natetea kwa sabab zifuatazo:

•UPOTOSHAJI,uislam unachafuliwa kwa kupotosha hii taarifa.

•UMOJA,nataman siku moja Brazil waipongeze Tanzania kwa kigezo tu cha "Hawa ni binadam wenzet".Matamanio haya hayatotokea kama tukilazmisha kupongezan kimabara. Hili jambo sio kubwa ni vile tumeshindwa kuzishirikisha halmashauri za bongo zetu vizur,kwann Rais wa Nigeria [If am not mistaken] alivowapongeza wamorocco haijawa nogwa why nogwa imekuja after mwanamfalme wa saudia kuwapongeza .Upongezaji mseto namna hii ndo unafaa, upongezaji kutoka sehem tofaut tofaut. Tunalalamika tafkir watu kutoka mabara mengine hawana haki ya kuwapongeza wamorocco. Kwa ilichofanya Morocco inapaswa kupongezwa na dunia nzima mpka yule atakae beba kombe, sabab ni history wameandika na wametuheshimisha waafrica wamewaheshimisha waarabu pia wamedumisha utaratibu wa kiulimwengu kweny swala la football. ACHA WARABU WAWAPONGEZE SABABU NI WAARABU NA SIS WAAFRICA TUWAPONGEZE SABABU NI WAAFRICA [emoji120]
 
Uislam unachafuliwaje hapo?

Halafu ujue context matters.
Huyu Prince kusema hayo maneno ingekuwa haina shida kama Wamorroco wenyewe kina Boufal wasingesema kuwa huu ushindi hauwahusu waafrika.

Ni sawa na Ufaransa inavyoshabikiwa na Waafrika.
Assume siku moja Mbappe aseme Ushindi wa Ufaransa hauhusu bara la ulaya ila ni kwa ajili ya waafrika tu.

Lazima wazungu wange feel some type of way.
 
Kwanini kusikalike wakati hata majezi yao yana misalaba na maisha yanaenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…