Mfalme Zumaridi kama umeshindwa kuongoza kanisa, pisha mchungaji mwingine

Kwani aliachiwa lini mkuu?
 
Kanisa likikosa usimamizi hao wapiga vyombo wataanza kuwala waimba kwaya [emoji23][emoji23][emoji23], katibu wa kanisa na mchungaji msaidizi hawakupewa handover ya kuendelea na vipindi vya ibada..?
 
Kanisa likikosa usimamizi hao wapiga vyombo wataanza kuwala waimba kwaya [emoji23][emoji23][emoji23], katibu wa kanisa na mchungaji msaidizi hawakupewa handover ya kuendelea na vipindi vya ibada..?
Ngapi ngapi huko?
 
Si uhame kanisa bro!
Hukumsikia mpiga vyombo mojawapo alisema kama mnakereka na sauti ya mdundo anapiga uhamie kanisa la jirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…